Hivi huyu Shabiki Mchome mapovu ni Shabiki kweli wa Simba SC au ni mwana Yanga SC aliyenunuliwa Jezi ya Simba SC ili atudhalilishe?

Nadhani sasa ifike muda Mashabiki wa Simba SC tuanzishe Mtindo wa Kuwaadabisha hawa Wanafiki kwa Vipigo Oky?
Mkishampatia kipigo akaumia au hata akafa kabisa, mtaifanya Simba imfunge Yanga? Au mtarudi katika ubora ule wa miaka mitano sita iliyopita?

Wekeni mikakati ya maana mchukue ubingwa kibabe na huko CAF (Champions League) mkichafue haswaa. Huyo Mchome Mapovu na wenzie hamtawasikia au mtawasikia vile mnataka wasikike.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Kama kawaida nchi ya wasiopenda kuambiwa ukweli
Umeenda mbali hadi kuwaza kufanya fujo dhidi ya mtu wa kawaida kabisa ambae hutoa maoni yake bila fujo
We mwenyewe rangi mbili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…