Hivi huyu Shabiki Mchome mapovu ni Shabiki kweli wa Simba SC au ni mwana Yanga SC aliyenunuliwa Jezi ya Simba SC ili atudhalilishe?

Kama ameshagundulika ni wa kupuuzwa tu hakuna haja ya kutoana damu.Vita ya kweli ni kwenye pitch,Watu wapigwe za kutosha uwanjani itakuwa adhabu tosha kwake na vibaraka wengine.
 
Watanzania hatuna huu upuuzi
 
Kunywa sumu
 
Mchome ni shabiki wa simba wa ukweli na amenyooka nyeusi anasema nyeusi na nyeupe anasema nyeupe. Ushabiki c kusifia tuu hata kukosoa kwa nia ya kujenga ni ushabiki
 
Mumuumize mtu kisa mpira? agh! mbona tunawaweka jela!
Tafuteni pesa vijana acheni chuki.
Shusha pumzi kidogo basi mkuu


Juzi jamaa wamemchania jezi, mob phycology ni mbaya sana, atakuja kupigwa kimzaha mzaha
 
Nadhani sasa ifike muda Mashabiki wa Simba SC tuanzishe Mtindo wa Kuwaadabisha hawa Wanafiki kwa Vipigo Oky?
Tuanze na wewe maana unaongoza kuibagaza Simba hapa jukwaani. Kwako Simba ni wakati inaposhinda tu basi. Haya ulimuwangia Barbara wawatu, sasa umepata nini tangu aondoke?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…