Hivi huyu Vandernbroeck anatutafuta nini Wanamsimbazi?

Hivi huyu Vandernbroeck anatutafuta nini Wanamsimbazi?

Kwa iyo kwa mawazo yako unaona Simba mechi ya juzi na Fc platinum walifungwa kizembe zembe sio?
Kweli wee hupendi mpira unaipenda simba
Subiri jumapili mechi na majimaji uone kishingo akiweka mshambuliaji mmoja huku akicheza Kwa kujilinda ndo utajua hana akili timamu
 
Hakuna sababu ya mpaka sasa kuwepo simba dadadeki zake

yaani sasa hivi simba ikikutana na timu ya kupaki basi tu mchezo umekwisha hakuna plani mbadala

swala la kipindua meza babu ni simba ile ya uchebe sio hii ya kishingo yaani wale wanakuja kupaki basi tu hapa game inakwenda suluhu na safari inaishia hapo kama huamini tusubiri utaona

na ubingwa mwaka huu simba tusahau
Nyie sina kikosi kipana [emoji3]
 
Kwa iyo kwa mawazo yako unaona Simba mechi ya juzi na Fc platinum walifungwa kizembe zembe sio?
Kweli wee hupendi mpira unaipenda simba
1.Simba wangekaza na kucheza kwa jihad kwa jinsi ile game ilivyokuwa wasingepata ushindi au draw? (Kocha mwenyewe juzi kawalaumu wachezaji). Huo sio uzembe?

2.Tabia ya kocha kutumia li mfumo lile lile tu la 4-2-3-1,ambalo wapinzani wameshalikariri,huoni nao ni uzembe wa kushindwa kujaribu formation nyingine?

3.Kitendo cha kocha kupenda kumchezesha Mzamiru ambaye mara nyingi amekuwa akiigharimu timu kwa siku za hivi karibuni,huoni kuwa huo ni uzembe wa Sven katika kusoma na kuelewa mapungufu ya wachezaji wake? Ni mara ngapi watu wamekuwa hawaridhishwi na Mzamiru lakini ye kocha anamkubali kinyama?

4.Wewe ungekuwa ndo Paschal Wawa ungempa mwili kizembe zembe vile yule Chikwende? ambaye tahadhari nyingi zilikuwa zimeshatolewa kumhusu. Mtu mwenyewe alikuwa nje ya box na wakati huo Wawa hajapata yellow card (kadi ya njano kaja kuipata katika eneo na tukio ambalo mchezaji wa Platinum wala hakuwa na madhara). Huo kama sio uzembe ni nini? Beki serious angefanya vile?

Uzembe ulikuwepo kwa kocha na wachezaji kwa ujumla, ila kocha kazidi. Japo sawa yeye ndo anawalaumu wachezaji, wachezaji nao ukiwauliza (hasa strikers na midfielders) wao wanamlaumu Kocha na mfumo wake na upangaji wa kikosi.
 
Hivi kwa mfano ingetokea Simba na Yanga zikafungwa yale magoli 7 na 6 waliyofungwa Liverpool na Manchester United nini kingetokea ndugu zangu? Maana naona huko Ulaya ukipigwa 6 au 7 mashabiki hawaji juu kama hawa wakwetu. Bali timu zinajipanga upya.
 
Kwani Simba tulipopigwa zile 5, 5 kwenye CL tulimfukuza kocha pale pale? Halafu hujawasikia mashabiki wa United wanavyomzungumzia Ole kwa sasa? Na vipi PSG ambao wamemfungashia virago mtu? Halafu hali ilikuwaje kwa Quique pale Barcelona? (na hata huyu Ronald Koeman naye jamaa wanamcheki kwa jicho la pembeni,wanamlia timing tu).

Hao wote niliowataja wanafundisha hapa Bongo?
 
.
...maana hatukuzidiwa kwa lolote zaidi ya wao kukaba sana na kujituma ila si uwezo.
Kwa taarifa yako huko kukaba sana na kujituma ndio inaitwa DISCIPLINE.na hii ndio zaie ya uwezo.
Kama na uwezo wako halafu kosa nidhamu uone.Mafanikio utayasikia tu kama BALLOTEL
 
1.Simba wangekaza na kucheza kwa jihad kwa jinsi ile game ilivyokuwa wasingepata ushindi au draw? (Kocha mwenyewe juzi kawalaumu wachezaji). Huo sio uzembe?

2.Tabia ya kocha kutumia li mfumo lile lile tu la 4-2-3-1,ambalo wapinzani wameshalikariri,huoni nao ni uzembe wa kushindwa kujaribu formation nyingine?

3.Kitendo cha kocha kupenda kumchezesha Mzamiru ambaye mara nyingi amekuwa akiigharimu timu kwa siku za hivi karibuni,huoni kuwa huo ni uzembe wa Sven katika kusoma na kuelewa mapungufu ya wachezaji wake? Ni mara ngapi watu wamekuwa hawaridhishwi na Mzamiru lakini ye kocha anamkubali kinyama?

4.Wewe ungekuwa ndo Paschal Wawa ungempa mwili kizembe zembe vile yule Chikwende? ambaye tahadhari nyingi zilikuwa zimeshatolewa kumhusu. Mtu mwenyewe alikuwa nje ya box na wakati huo Wawa hajapata yellow card (kadi ya njano kaja kuipata katika eneo na tukio ambalo mchezaji wa Platinum wala hakuwa na madhara). Huo kama sio uzembe ni nini? Beki serious angefanya vile?

Uzembe ulikuwepo kwa kocha na wachezaji kwa ujumla, ila kocha kazidi. Japo sawa yeye ndo anawalaumu wachezaji, wachezaji nao ukiwauliza (hasa strikers na midfielders) wao wanamlaumu Kocha na mfumo wake na upangaji wa kikosi.
Umeeleza bayana kwa insight details. Nafikiri viongozi, kocha na wachezaji wanasubiri sisi mashabiki tuanze kuzomea viwanjani ndo wajue haturiziki na mwenendo wa timu.
 
Jana ameiangamiza timu yetu, jana ametuumiza Wanasimba. Na hii si mara yake ya kwanza kutufanyia hivi.

Wale Platinum FC kwa jinsi nilivyowaona si wakali sana wa kututisha (najua game ijayo tutapindua matokeo) ila game plan ya Mwalimu wetu na zile sub zake za hovyo ndo zilizotugharimu. Kulikuwa kuna haja gani ya kumtoa Meddie Kagere badala ya kumwongezea nguvu? Kuna watu watasema "usimwingilie Kocha,yeye ni mtaalamu anajua zaidi kuliko wewe shabiki", acheni ujinga! Mmeambiwa wataalamu huwa hawakosei na sometimes kuzidiwa na amateurs?

Nauliza; kocha una chuki gani dhidi ya Kagere ambaye alikuwa anaisumbua Platinum kuliko yule mchovu Mugalu aliyeingia? Halafu unampendea nini Mzamiru Yassin na kiwango chake kile kibovu? Huyu Miraji Athumani ni mzuri, lakini kwakuwa umekuwa humpi nafasi, unadhani angefanya nini cha ajabu jana?

Nakuambia anza kupanga nguo zako kwenye begi. Kwanza ulikuja ukiwa kimbaumbau,una koromeo refu na macho kama una utitiri wa kuku. Sasa tumekulisha ukanawiri na ukajua kuvaa halafu unaanza kutuzingua. Get prepared!
Kumekucha
 
Kwa taarifa yako huko kukaba sana na kujituma ndio inaitwa DISCIPLINE.na hii ndio zaie ya uwezo.
Kama na uwezo wako halafu kosa nidhamu uone.Mafanikio utayasikia tu kama BALLOTEL
Duh! Sijui kama umetafakari kabla ya Ku comment...yaani ulichokifanya hapo ni kama hujafanya kitu.
 
Back
Top Bottom