Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 1,726
- 3,391
Kuna hatua zozote anafanya huyu waziri kukabiliana na tatizo la mgao au anapanga tu ratiba ya mgao na kusubiria maji? Maana hii ni dharura. Umeme siku moja upo ya pili haupo. Kazi ya siku 10 utafanya siku ishirini. Makamba hili lilimshinda.
Tulitegemea huyu Biteko anakuja na suluhu? Hili suala litatuliwe kwa dharura, hatuwezi kwenda miezi mingine kama miwili kwa style hii.
Tulitegemea huyu Biteko anakuja na suluhu? Hili suala litatuliwe kwa dharura, hatuwezi kwenda miezi mingine kama miwili kwa style hii.