Hivi huyu waziri wa nishati anachukua hatua zozote kutatua mgao au anasubiria mvua?

Wakili wa shetani

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2022
Posts
1,726
Reaction score
3,391
Kuna hatua zozote anafanya huyu waziri kukabiliana na tatizo la mgao au anapanga tu ratiba ya mgao na kusubiria maji? Maana hii ni dharura. Umeme siku moja upo ya pili haupo. Kazi ya siku 10 utafanya siku ishirini. Makamba hili lilimshinda.

Tulitegemea huyu Biteko anakuja na suluhu? Hili suala litatuliwe kwa dharura, hatuwezi kwenda miezi mingine kama miwili kwa style hii.
 
Hatua za msingi anatakiwa avunje hiyo bodi ya tanesko na kuondoa huyo maharage ya mbeya,mana hao ndio kikwazo hakuna watendaji hapo bali wapiga dili watamkwamisha sana. Hata kama sera yake ni kudeal na issue.
 
Huyo kapewa hiyo nafasi kisiasa sio sababu anauwezo wakutatua matatizo ya nishati
 
Kuna hatua zozote anafanya huyu waziri kukabiliana na tatizo la mgao au anapanga tu ratiba ya mgao na kusubiria maji? Maana hii ni dharura. Umeme siku moja upo ya pili haupo. Kazi ya siku 10 utafanya siku ishirini. Makamba hili lilimshinda.

Tulitegemea huyu Biteko anakuja na suluhu? Hili suala litatuliwe kwa dharura, hatuwezi kwenda miezi mingine kama miwili kwa style hii.
Huyo waziri ni kwa ajili ya kuvutia kura za watu wa kanda ziwa, matatizo ya umeme yako nje ya uwezo wa Chaka chake.
 
Atachukua hatua gani, hawezi.
 
Ukijua tatizo ni nini basi ni rahisi kulitatua especially ya kiufundi.

-Kama miundombinu mibovu basi ibadilishe.
-Kama tatizo ni kina cha maji basi jikite kuinvest kwenye solar/nuclear/thermal/wind/gas
-Kama tatizo ni capacity vs usage basi ongeza capacity kwa kuongeza investment
 
Kuna hatua zozote anafanya huyu waziri kukabiliana na tatizo la mgao au anapanga tu ratiba ya mgao na kusubiria maji? Maana hii ni dharura. Umeme siku moja upo ya pili haupo. Kazi ya siku 10 utafanya siku ishirini. Makamba hili lilimshinda.

Tulitegemea huyu Biteko anakuja na suluhu? Hili suala litatuliwe kwa dharura, hatuwezi kwenda miezi mingine kama miwili kwa style hii.
Mzee kwan mvua zimenyesha huko kweny mabwawa? Kama hazijanyesha vumilien mpaka mvua zinyeshe!! Nchi imejaaliwa nishat mpaka gas lkn haijulikan ilitokomea wap, ingesaidia suala la uzalishaj wa nishat ya umeme! CCM mbele kwa mbeleee 🎶🎶🎶
 
Back
Top Bottom