Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 1,726
- 3,391
January alishindwa ndiyo maana alitolewa.Kumbe bora January
Huyo waziri ni kwa ajili ya kuvutia kura za watu wa kanda ziwa, matatizo ya umeme yako nje ya uwezo wa Chaka chake.Kuna hatua zozote anafanya huyu waziri kukabiliana na tatizo la mgao au anapanga tu ratiba ya mgao na kusubiria maji? Maana hii ni dharura. Umeme siku moja upo ya pili haupo. Kazi ya siku 10 utafanya siku ishirini. Makamba hili lilimshinda.
Tulitegemea huyu Biteko anakuja na suluhu? Hili suala litatuliwe kwa dharura, hatuwezi kwenda miezi mingine kama miwili kwa style hii.
Mzee kwan mvua zimenyesha huko kweny mabwawa? Kama hazijanyesha vumilien mpaka mvua zinyeshe!! Nchi imejaaliwa nishat mpaka gas lkn haijulikan ilitokomea wap, ingesaidia suala la uzalishaj wa nishat ya umeme! CCM mbele kwa mbeleee 🎶🎶🎶Kuna hatua zozote anafanya huyu waziri kukabiliana na tatizo la mgao au anapanga tu ratiba ya mgao na kusubiria maji? Maana hii ni dharura. Umeme siku moja upo ya pili haupo. Kazi ya siku 10 utafanya siku ishirini. Makamba hili lilimshinda.
Tulitegemea huyu Biteko anakuja na suluhu? Hili suala litatuliwe kwa dharura, hatuwezi kwenda miezi mingine kama miwili kwa style hii.