Hivi huyu Wenger akili zake zikoje?

Hivi huyu Wenger akili zake zikoje?

nshauhama huo ugonjwa wa moyo kitambo
Mshabiki ndio mwenye timu na hawezi kuhama.mchezaji ama kocha ni waajiriwa tu hivyo mapenzi huweza kuhamishia sehemu nyingine japo nao miioyoni mwao huwa na timu zao wanazozihusudu!
 
Endeleeni kumvumilia tu wenyewe si mnajifanya timu haina madeni ni mwendo wa kupata faida tu.Sasa ndo mjue kuwa katka timu mashabiki huwa wanahtaji makombe tu vingine hvyo waachieni watu wa mabenki.
 
Huyu Wenger alivyosign mkataba mpya imepelekea kwa wachezaji kupunguza morale ya uchezaji maana walijua lazima ataondoka msimu huu.
 
Achaneni na mambo yasiyokuwa yetu
..jumamosi njooni kwa wingi Taifa kuona mabingwa wa kihistoria wakivunja record ya CAF ya mabao....[HASHTAG]#uzalendo[/HASHTAG]
 
Tumempa kazi ya kutubakisha top 4 tu some mkataba wake makombe ni zawadi yake kwetu
 
Wanabodi..Mpaka sasa Aseno ameshakula 5....ukiangalia mipango ya huyu mtu anajiita kocha ni ile ile miaka yote iliyopita...anafungwa kabla hajaingia uwanjani kinachobaki ni kujua tu goli lakini uhakika unajua kabisa wanafungwa ngapi...kwanini asiache hii timu?? Anajisikiaje kungangania kitu hakiwezi??
Ndo AKILI zake zilivyofikia hapo...
 
Arsenal. Arsenal. Arsenal. Sawa bana!
 
Back
Top Bottom