kweli kufungwa tano ni jitihada kubwaEngland yeye ndiye anajitahidi
Mshabiki ndio mwenye timu na hawezi kuhama.mchezaji ama kocha ni waajiriwa tu hivyo mapenzi huweza kuhamishia sehemu nyingine japo nao miioyoni mwao huwa na timu zao wanazozihusudu!nshauhama huo ugonjwa wa moyo kitambo
Lini mkuuu?Mimi ni shabiki kindakindaki wa Arsenal na namkubali saaana Wenger, nyie hamjui tu Ila ipo siku mtaijua kazi yake
Ni nkurunzinza wa soccer[emoji15]Hahah kwa hiyo wenger dikteta naye hataki kuachia madaraka, fanyeni mapinduzi.
Mimi ni shabiki kindakindaki wa Arsenal na namkubali saaana Wenger, nyie hamjui tu Ila ipo siku mtaijua kazi yake
Hapajafikia hapo pa kukuumiza Godhivi mashabiki wa arsenal tumemkosea nini Mungu?
Ndo AKILI zake zilivyofikia hapo...Wanabodi..Mpaka sasa Aseno ameshakula 5....ukiangalia mipango ya huyu mtu anajiita kocha ni ile ile miaka yote iliyopita...anafungwa kabla hajaingia uwanjani kinachobaki ni kujua tu goli lakini uhakika unajua kabisa wanafungwa ngapi...kwanini asiache hii timu?? Anajisikiaje kungangania kitu hakiwezi??
Hakuna mwenye ubavu wa kumtoa Wenger! Wenger ni Arsenal na Asernal ni Wenger! Ameitajirisha sana Arsenal! Na ana hisa nyingi hapo! Ni rahisi mashabiki kumwaga manyanga kuliko wenger kusepa!Wenger out.