Hivi huyu Wenger akili zake zikoje?

Tatizo ni kupata kocha mwenye jina linalofanana na timu.
 
Nilikuwa mpenzi wa Arsenal kuna kipindi nilikuwa sitoki ndani kwenda kitaa kisa huyu humbwa wenger

Huu ni ugonjwa wa moyo nilisha utua mda mrefu sana! Wenge akiondoka nitarudi kundini
 
hivi mashabiki wa arsenal tumemkosea nini Mungu?
Wala Mungu ahusiki hapo, haiwezekani mashindano ya UEFA mtu anayafananisha na Calring Cup, jamani? Kweli unamtegemea Ospina kuwa langoni, wakati Peter yupo tu benchi? Unashindwa kumpanga Giloud, Welbeck, Walcot, Perez,Ramsey jamani Asern Wenger unaakili kweli au? Anabaki anatoa pua yake ndefu utafikili mkimbizi wa Visiwa vya Wazuvendi huko, kwa wasio ona!! Wenger shamefull.
 
hizi ni ndoto hatutaewza mkuu
Neno siwezi unatakiwa uliseme ukiwa kaburini mkuu shida yetu kwa sasa midfielder wa juu mithili ya Cazorla ili kumfikishia Mesut O'zil mipira muafaka Xhaka naye anaiga style ya Coquelin vumilia naamini strategy ya iko sawa mkuu
 
Duh ila kuishabikia ARSENAL inabidi uwe na moyo wa chuma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Neno siwezi unatakiwa uliseme ukiwa kaburini mkuu shida yetu kwa sasa midfielder wa juu mithili ya Cazorla ili kumfikishia Mesut O'zil mipira muafaka Xhaka naye anaiga style ya Coquelin vumilia naamini strategy ya iko sawa mkuu
ni kweli mkuu ngoja tuendelee kuwa wavumilivu
 
Sijui kwa nini ila nikisoma hiz comment naona maumivu yenu kwa kweli



Ila najikuta nafurah na kuwaombea mabayA zaidi
 
Najiuliza hao waliongozaje kundi ikiwa wote wamepokea vipigo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…