billionea alpha
JF-Expert Member
- Apr 10, 2014
- 1,443
- 1,656
Mkimfukuza mtakuwa amfiki UEFA ng'ooo shauri zenu mvumilieni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo ni kupata kocha mwenye jina linalofanana na timu.Wanabodi..Mpaka sasa Aseno ameshakula 5....ukiangalia mipango ya huyu mtu anajiita kocha ni ile ile miaka yote iliyopita...anafungwa kabla hajaingia uwanjani kinachobaki ni kujua tu goli lakini uhakika unajua kabisa wanafungwa ngapi...kwanini asiache hii timu?? Anajisikiaje kungangania kitu hakiwezi??
Wala Mungu ahusiki hapo, haiwezekani mashindano ya UEFA mtu anayafananisha na Calring Cup, jamani? Kweli unamtegemea Ospina kuwa langoni, wakati Peter yupo tu benchi? Unashindwa kumpanga Giloud, Welbeck, Walcot, Perez,Ramsey jamani Asern Wenger unaakili kweli au? Anabaki anatoa pua yake ndefu utafikili mkimbizi wa Visiwa vya Wazuvendi huko, kwa wasio ona!! Wenger shamefull.hivi mashabiki wa arsenal tumemkosea nini Mungu?
kazee hakanaga aibu kaleHivi Wenger hana aibu ?
hizi ni ndoto hatutaewza mkuuMechi ya marudio tunashinda 3:0
Neno siwezi unatakiwa uliseme ukiwa kaburini mkuu shida yetu kwa sasa midfielder wa juu mithili ya Cazorla ili kumfikishia Mesut O'zil mipira muafaka Xhaka naye anaiga style ya Coquelin vumilia naamini strategy ya iko sawa mkuuhizi ni ndoto hatutaewza mkuu
Jumanne: PSG 4 VS 0 BARCAWenger:sina mpango wa kuondoka arsenal
ni kweli mkuu ngoja tuendelee kuwa wavumilivuNeno siwezi unatakiwa uliseme ukiwa kaburini mkuu shida yetu kwa sasa midfielder wa juu mithili ya Cazorla ili kumfikishia Mesut O'zil mipira muafaka Xhaka naye anaiga style ya Coquelin vumilia naamini strategy ya iko sawa mkuu
hahahah wallah kama hauna moyo mgumu huwez kuishabikia arsenalDuh ila kuishabikia ARSENAL inabidi uwe na moyo wa chuma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wanapeana moyoni kweli mkuu ngoja tuendelee kuwa wavumilivu