Hivi idara ya usalama wa taifa wa Tanzania inahusika na kila kitu hadi uuzaji wa nyanya na vitunguu magengeni?

Sidhani kama wanadhibiti kila sehemu ya maisha yangu.

Mnawapa sifa ambazo hawana.
Kwenye Part IV sehemu ya duties and power of Tiss, akina chibu Kuna mda wanaweza tumika kati namba 16 kama Restriction on publication and broadcasting information.

Kuna media frenzy zinatengenezwa kucover on going big news kwenye nnchi, kwasabu Wana uwezo mkubwa wa kutrend hawa wasanii na wakafanya mass of people waconcerntrate nao na wasifuatilie what is real happening in a country.

Kuna maboko mengine hawa wasanii wanayafanya kimakusudi kwa kusongwa Hali inayoweza fanya washuke kimuziki baada ya kutrend, kwahiyo wanaweza kulaumiwa pia 😎

My take though
 
Mi najiuliza tuu hadi huu ubadhilifu unafanyika ngazi ya halimashauri wao ofisi ya DSO huwa ipo busy na majukumu gani?
Halimashauri wakurugenzi walitumika kuiba kura hivyo hakuna msafi wa kuwanyooshea vidole. NA HILI NI TATIZO KUBWA KULIKO TUNAVYOZANI
 

Kaa ukitambua kua.
Usalama wa Taifa=Ofisi ya Rais.
Rais anatakiwa kujua kila kitu, kila kinachoendelea katika ofisi zote ziwe za serikali ama ofisi binafsi. Anatakiwa kujua/kua na taarifa zote za Wizara zote, Idara zote anatakiwa kujua hali ya uchumi wa nchi, Si-Hasa, Biashara n.k anatakiwa kujua hali ya usalama wa nchi na majeshi yote kwa ujumla. Hivyo bhasi kupitia Ofisi yake anapata taarifa sahihi na taarifa zote anazipata kwa wakati na taarifa nyingine wewe hujui kama ni taarifa ndo maana wanasema “ULIPO-TUPO”.
Note:
Wewe Fanya majukumu yako kwa mujibu wa katiba ya JMT tena kwa bidii na kwa kujituma na kwa Kizalendo zaidi maana kila unachokifanya wanakuona na wakikuhitaji ufanye nao kazi watakuita kwa njia watayoona inafaa. Nawasilisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…