Hivi idara ya usalama wa taifa wa Tanzania inahusika na kila kitu hadi uuzaji wa nyanya na vitunguu magengeni?

Miaka 26-30 ni umri wa kukosoa wengine, lawama nyingi na visingizio lukuki (huu pia ni umri halali kwa jela au kifungo, usipofungwa umri huo basi huko mbeleni hata ukija kupata kesi ni rahisi kuchomoa).
 
Wakati wa Magu walikuwa wanatumika sana kukagua samaki na dagaa lkn sasaiv wamelala.
 
Tatizo lako unajifanya Mmarekani kwa sana. Utadhani wengine wote hawajaishi USA ni wewe tu. Kila mara ni ku compare na ku contrast hali ilivyo USA na hali ilivyo Tanzania. You can suck up your shitty sarcasm in your stinky pussy hole bitch.
 
Tatizo lako unajifanya Mmarekani kwa sana. Utadhani wengine wote hawajaishi USA ni wewe tu
Ni hisia zako tu na complex yako tu.

Mimi sijifanyi Mmarekani kwa sana. Mimi ni Msukuma wa Ntuzu na ninajivunia sana kuwa wa huko.

Ondoa complex uliyonayo.
 
Kila mara ni ku compare na ku contrast hali ilivyo USA na hali ilivyo Tanzania. You can suck up your shitty sarcasm in your stinky pussy hole bitch.
Una maruerue kichwani wewe.

Wapi katika hii mada nimelinganisha hali ilivyo Marekani [au USA kama ulivyoandika wewe] na hali ilivyo Tanzania?

You are just babbling.
 
Hivi hawa wakwetu ni kama MOSAD,CIA,KGB etc ambao kwa mfano wakiona Kiongozi anazengua wanamfurusha kwa maslahi ya uma tuliona kwa Donald Trump. Au hawa ni kwa maslahi ya Serikali? Yaani wanawwza kuipenda nchi au wako kuitetea Serikali?
 
Mi najiuliza tuu hadi huu ubadhilifu unafanyika ngazi ya halimashauri wao ofisi ya DSO huwa ipo busy na majukumu gani?
Wapo busy kupambana na Mdude wa Chadema. Yaani wanatia huruma sana
 
Una maruerue kichwani wewe.

Wapi katika hii mada nimelinganisha hali ilivyo Marekani [au USA kama ulivyoandika wewe] na hali ilivyo Tanzania?

You are just babbling.
Anakuonea bure kwa kweli. Sijaona mahali popote umeandika ama umelinganisha USA na TZ.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…