Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Dog shitImbecile
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dog shitImbecile
Wasikilize wachambuzi wa India (vichwa vya kijeshi vya India hivi) vinachambuwa:
Hijo de puta madreDog shit
Mdharau mwiba humchoma.
Punguza kujazwa ujinga na "mainstream media". Walizidiwa ujanja, walikuwa wanajazwa ujinga wa kiintelijensia huku wakijiona wao ndiyo washindi kiintelijensia.
Wasikilize wachambuzi wa India (vichwa vya kijeshi vya India hivi) vinachambuwa:
View: https://youtu.be/oKhCiq77GNw?si=j_IGLCmRW5fSsKL4
Hijo de puta madre
Culo madre puta la mienaeres un coño
Wakati wa Magu walikuwa wanatumika sana kukagua samaki na dagaa lkn sasaiv wamelala.Kuna mmoja humu kaulalamikia usalama wa taifa kwa uwepo wa sabuni ya jamaa. Duh! Kama ni hivyo basi usalama wa taifa labda utakuwa unahusika na bidhaa kama nyanya na vitunguu huko masokoni. Hata mimi pia sijui mukhtadha wa usalama wa taifa shughuli zao zinaanzia na kuishia wapi zaidi ya stori za vijiweni kuwa usalama wa taifa wapo kila idara
Tatizo lako unajifanya Mmarekani kwa sana. Utadhani wengine wote hawajaishi USA ni wewe tu. Kila mara ni ku compare na ku contrast hali ilivyo USA na hali ilivyo Tanzania. You can suck up your shitty sarcasm in your stinky pussy hole bitch.Siyo mjuzi sana wa habari za idara ya usalama wa taifa, Tanzania.
Lakini katika pitapita zangu humu JF, nimekutana na mada kadhaa zilizonishangaza kidogo.
Mtu akienda dukani akikuta bidhaa ambayo haipendi, lawama anabebeshwa usalama wa taifa.
Msanii Diamond umaarufu wake ukianza kupungua, lawama zinaenda kwa usalama wa taifa!
Timu za mpira za Tanzania zisipofanya vizuri kwenye mashindano ya kimataifa, lawama kwa usalama wa taifa!
Ni mimi tu ambaye sielewi dhima nzima ya usalama wa taifa au inakuwaje?
Kwa mfano, usalama wa taifa wanahusikaje na uwepo wa bidhaa za Kenya kwenye maduka ya Tanzania?
Kwa akili zangu hizi za panzi, waamuzi wa mafanikio ya bidhaa ni wateja/ wanunuzi.
Kama wateja/ wanunuzi wanaona bidhaa fulani ni bora kuliko bidhaa ingine, basi wataendelea kuiunga mkono kwa kuinunua.
Na ubora wa bidhaa sidhani kama unahusiana chochote na idara ya usalama wa taifa.
Ubora wa bidhaa unatokana na ubunifu wa mzalishaji. Mzalishaji anapotengeneza bidhaa iliyo bora halafu akaitangaza kwa umma, umma huo ndo utaamua mafanikio ya hiyo bidhaa.
Sasa kama makampuni ya Tanzania hayatengenezi bidhaa zilizo bora kutokana na kushindwa kuwa wabunifu, lawama kwa usalama wa taifa zinahusikaje?
Hmm…..yawezekana ni mimi tu na hizi akili zangu za panzi ndo maana labda sielewi.
Wajuvi na wajuzi wa mambo nijuzeni, tafadhali.
Ni hisia zako tu na complex yako tu.Tatizo lako unajifanya Mmarekani kwa sana. Utadhani wengine wote hawajaishi USA ni wewe tu
Tu coño apesta a pescado muerto.Culo madre puta la miena
La mieldaTu coño apesta a pescado muerto.
tú y tu familia estáis todos jodidos por el diablo.La mielda
vilis et familia tuatú y tu familia estáis todos jodidos por el diablo.
Una maruerue kichwani wewe.Kila mara ni ku compare na ku contrast hali ilivyo USA na hali ilivyo Tanzania. You can suck up your shitty sarcasm in your stinky pussy hole bitch.
Wapo busy kupambana na Mdude wa Chadema. Yaani wanatia huruma sanaMi najiuliza tuu hadi huu ubadhilifu unafanyika ngazi ya halimashauri wao ofisi ya DSO huwa ipo busy na majukumu gani?
Anakuonea bure kwa kweli. Sijaona mahali popote umeandika ama umelinganisha USA na TZ.Una maruerue kichwani wewe.
Wapi katika hii mada nimelinganisha hali ilivyo Marekani [au USA kama ulivyoandika wewe] na hali ilivyo Tanzania?
You are just babbling.
Anampenda amemumindy kichizi😆😆😆Anakuonea bure kwa kweli. Sijaona mahali popote umeandika ama umelinganisha USA na TZ.
Kuvett walimu kusimamia mitihani n wakuu wa Idara ili wapate vyeoMi najiuliza tuu hadi huu ubadhilifu unafanyika ngazi ya halimashauri wao ofisi ya DSO huwa ipo busy na majukumu gani?