Hivi idara ya usalama wa taifa wa Tanzania inahusika na kila kitu hadi uuzaji wa nyanya na vitunguu magengeni?

Shida kubwa iliyopo katika Zama hizi ni kwamba usalama wa Taifa waliopewa jukumu la kulinda nchi na wenyewe siku hizi CYO wazalendo tena wanatafuta utajiri...thus why mambo hayaendi kila sehemu Hali ni tete.......

Tuzidishe maombi Ili Mungu mwenyewe ndio awe mlinzi wetu mkuu na wa pekee....
 
Homeboy mzee wa brooklyn,hao jamaa hatari sana huwaogopi angalia
Bana wasikusake huko [emoji1]

Ila humu kuna watu wana watukuza sana

Nyani Ngabu

Ova
 
Hata sasa hivi mvua hizi zinazonyesha lawama ziende kwa usalama wa taifa!


Watanzania ni special species!



Hilo la mvua majuzi tu humu TMA walikoma kwa vinyesi walivyoanza kupakazwa Kisa joto lilikua kali na mvua walizo ‘tabiri’ zimechelewa.
 


Bado huwajui TISS na kwa mawazo haya utachelewa sana kuwajua.
 


Maajabu ya hoja yako ni kuiweka TISS level moja na MOSSAD na CIA.



Kuhusu Mwigulu kutokidhi uwaziri kwasababu sio mfanyabiashara, ni vizuri uifanyie utafiti hoja yako.

Kitila Mkumbo alipo ni sahihi, tatizo Siasa zimetawala maono na maamuzi yake.
 


Nani anateua viongozi wa TISS?

Sasa huyo anaewateua anapowateua na wengine unataka hao TISS wamfanyeje mteuaji wao?




Ulishashuhidia mbwa akiwa anakimbiza mkia wake mwenyewe? Inatia kizunguzungu balaa.
 


Na hoja yake ni kwamba inakuaje watumiaji wa bidhaa waipende bidhaa fulani inayotengenezwa/inayoletwa kutoka nje ya nchi halafu lawama wazibebe TISS?



Kwamba TISS wawaamulie watu bidhaa gani waipende na ipi waichukie?
 
Hamna kitu upuuz mtupu! Usalama wa taifa huku Tz ni sifuri.
 
Usalama wa Taifa wa Tz wao kazi yao kubwa ni Kuhakikisha Wanakimbizana na CHADEMA kwenye Mavumbi pale wafanyapo Makongamano Yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…