Hivi idara ya usalama wa taifa wa Tanzania inahusika na kila kitu hadi uuzaji wa nyanya na vitunguu magengeni?

Hivi idara ya usalama wa taifa wa Tanzania inahusika na kila kitu hadi uuzaji wa nyanya na vitunguu magengeni?

Shida kubwa iliyopo katika Zama hizi ni kwamba usalama wa Taifa waliopewa jukumu la kulinda nchi na wenyewe siku hizi CYO wazalendo tena wanatafuta utajiri...thus why mambo hayaendi kila sehemu Hali ni tete.......

Tuzidishe maombi Ili Mungu mwenyewe ndio awe mlinzi wetu mkuu na wa pekee....
 
Homeboy mzee wa brooklyn,hao jamaa hatari sana huwaogopi angalia
Bana wasikusake huko [emoji1]

Ila humu kuna watu wana watukuza sana

Nyani Ngabu

Ova
 
Hata sasa hivi mvua hizi zinazonyesha lawama ziende kwa usalama wa taifa!


Watanzania ni special species!



Hilo la mvua majuzi tu humu TMA walikoma kwa vinyesi walivyoanza kupakazwa Kisa joto lilikua kali na mvua walizo ‘tabiri’ zimechelewa.
 
Aliyeleta mada alikuwa sawa ila aishindwa namna ya kuiwasilisha. FYI usalama wa nchi sio kuipigajia ccm ibaki madarakani (kama ilivo kwa sasa). Usalama wa nchi ni lidude lipana hivi? Mfano ukosefu wa fedha za kigeni unaweza sema ni ishu ya kiuchumi tu ila ni purely usalama na mfano wa pili upungufu wa chakula ni usalama wa taifa.
Usalama wetu ni more of political intelligence. Unawezaje kujenda reli kwa kuagiza chuma urusi ukaacha chuma Liganga hapo.

Hawa jamaa waweke kitengo cha Economic intelligence (na wasiwe UVCC watumie knowlegeable personel).

Fikiria mtu aingize mbegu za nyanya zisizoota na kwa fitina akazuia mbegu zingine zote. Nini kitatokea? Inshort hawa jamaa wanatakiwa kuwa wanafikiria mbele sio kuwa driven na matukio ya sasa.


Bado huwajui TISS na kwa mawazo haya utachelewa sana kuwajua.
 
Kwa kifupi ukiona taifa lolote linayumba ujue Idara ya usalama ipo hoi na ndiyo maana kazi ya kwanza ya Rais akiingia ofisini asubuhi anaanza na faili la TISS.
Ata Israel yupo pale Middle East kwasababu
ya uimara wa Mosad na USA wanatamba kwasababu ya uimara wa CIA.
Kwaiyo ata Tanzania, tatizo la kuwa na viongozi wa ovyo tatizo ni TISS maana wao ndiyo wanatakiwa wafanye vetting ya uhakika.Kama kuna bidhaa hafifu za Kenya kwenye soko la Tanzania pia tatizo ni wao TISS kuruhusu Rais kuteua Mkurugenzi Mkuu wa TBS asiye na sifa na Bodi dhaifu achilia mbali Waziri wa Biashara asiyejua Biashara na michezo yake ya kihuni.
Kwa mfano;kama TISS wangekuwa strong Mwigulu asingekuwa Waziri wa fedha na wala Kitila Mkumbo asingekuwa Waziri wa Mipango kwasababu hawana rekodi yoyote ya kuwai kufanya Biashara yoyote walau ata kuwa ata Business consultants.Unamuachaje mtu kama Dr Charles Kimei kwenye Cabinet na unawapa kipao mbele akina Kitila Mkumbo?
"Information is power"

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app


Maajabu ya hoja yako ni kuiweka TISS level moja na MOSSAD na CIA.



Kuhusu Mwigulu kutokidhi uwaziri kwasababu sio mfanyabiashara, ni vizuri uifanyie utafiti hoja yako.

Kitila Mkumbo alipo ni sahihi, tatizo Siasa zimetawala maono na maamuzi yake.
 
Ni kweli HUELEWI. Na KOSA sio lako ni Usalama wa Taifa.
Idara hii ni engine ya nchi kuanzia Siasa, Uongozi, sanaa , Uchumi na kila jambo.
Fikiria vetting ya viongozi imekaa kiwizi wizi na ukabila au Makundi nani analaumiwe?.
Fikiria leo rasilimali za umma zinaibwa nani alaumiwe?.
Kila taasisi za nchi wako kule lkn hakuna kinafanyika. Nani alaumiwe?
Hii nchi imefikia sehemu kweli ya kuwa watu ni chawa wa mtu mwingine kwa kisingizio cha Uanaharakati au uchama dola na kupongeza yasio na maana.

My Take. Labda wakili kuwa hawana meno kazi yao ni kutoa taarifa na wanaowapa wanatia mfukoni. Hivyo chombo kinahitaji mabadiliko


Nani anateua viongozi wa TISS?

Sasa huyo anaewateua anapowateua na wengine unataka hao TISS wamfanyeje mteuaji wao?




Ulishashuhidia mbwa akiwa anakimbiza mkia wake mwenyewe? Inatia kizunguzungu balaa.
 
Sawa Bwana Junya mwenzangu,mimi nafanya Biashara ya Cosmetics,wambie TIC wafanye updatio masuala ya Cosmetics and foods yapo TBS na masuala ya Drugs and medical devices yapo TFDA.
Sasa tulejee mada yetu;umo TBS na TFDA,TISS wamo kama wote kuanzia Maabara mpaka kwenye masuala management.
Mashirika yote ambayo yanadili na masuala nyeti kama Afya ya Mtanzania TISS wapo Mkuu.
Ulizungumzia nyanya,kama zinatoka nje ya nchi pia jicho la TISS lipo na kama zinazalishwa nchini basi Madawa yote yanayotumika kwenye Kilimo husika ni lazima yathibitishwe.

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app


Na hoja yake ni kwamba inakuaje watumiaji wa bidhaa waipende bidhaa fulani inayotengenezwa/inayoletwa kutoka nje ya nchi halafu lawama wazibebe TISS?



Kwamba TISS wawaamulie watu bidhaa gani waipende na ipi waichukie?
 
Hamna kitu upuuz mtupu! Usalama wa taifa huku Tz ni sifuri.
 
Usalama wa Taifa wa Tz wao kazi yao kubwa ni Kuhakikisha Wanakimbizana na CHADEMA kwenye Mavumbi pale wafanyapo Makongamano Yao.
 
Back
Top Bottom