Hivi idara ya usalama wa taifa wa Tanzania inahusika na kila kitu hadi uuzaji wa nyanya na vitunguu magengeni?

Hivi idara ya usalama wa taifa wa Tanzania inahusika na kila kitu hadi uuzaji wa nyanya na vitunguu magengeni?

Duh ...beef lenu bado linaendelea
Inabidi mtafutane muwekane sawa

Ova
Hawezi kufanya hivyo ndo maana yupo humu anaongea reckless.

Ana uhakika wa 99.99% kuwa mimi na yeye hatutakutana mtaani mimi na yeye tu.

Kwa risk level kwake ni ndogo.

Ana kwa ana hawezi kuthubutu kuongea hivyo halafu akarudi nyumbani akiwa na taya ambayo haijavunjika.
 
Usalama wa taifa ndio unao endesha nchi hukiona nchi ni ya ovyo rushwa kwa viongozi ufisadi kutokufuata sheria viongozi kutokuwa na mahadiri ujue usalama wa taifa ni wa ovyo kwa mfano ripoti ya mkaguzi wa serikali imetaja mpaka majina ya watu hakuna haua yoyote ile hiriochukuliwa wamegeuka kuwa wanasiasa badala ya kusaidia nchi

Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
 
Hayo mambo uliyoyataja wewe si ni kazi ya TAKUKURU?

Sasa usalama wa taifa wanahusikaje na masuala ya rushwa na ubadhirifu wakati taasisi iliyo mahsusi kwa shughuli hizo ipo?
 
Siyo mjuzi sana wa habari za idara ya usalama wa taifa, Tanzania.

Lakini katika pitapita zangu humu JF, nimekutana na mada kadhaa zilizonishangaza kidogo.

Mtu akienda dukani akikuta bidhaa ambayo haipendi, lawama anabebeshwa usalama wa taifa.

Msanii Diamond umaarufu wake ukianza kupungua, lawama zinaenda kwa usalama wa taifa!

Timu za mpira za Tanzania zisipofanya vizuri kwenye mashindano ya kimataifa, lawama kwa usalama wa taifa!

Ni mimi tu ambaye sielewi dhima nzima ya usalama wa taifa au inakuwaje?

Kwa mfano, usalama wa taifa wanahusikaje na uwepo wa bidhaa za Kenya kwenye maduka ya Tanzania?

Kwa akili zangu hizi za panzi, waamuzi wa mafanikio ya bidhaa ni wateja/ wanunuzi.

Kama wateja/ wanunuzi wanaona bidhaa fulani ni bora kuliko bidhaa ingine, basi wataendelea kuiunga mkono kwa kuinunua.

Na ubora wa bidhaa sidhani kama unahusiana chochote na idara ya usalama wa taifa.

Ubora wa bidhaa unatokana na ubunifu wa mzalishaji. Mzalishaji anapotengeneza bidhaa iliyo bora halafu akaitangaza kwa umma, umma huo ndo utaamua mafanikio ya hiyo bidhaa.

Sasa kama makampuni ya Tanzania hayatengenezi bidhaa zilizo bora kutokana na kushindwa kuwa wabunifu, lawama kwa usalama wa taifa zinahusikaje?

Hmm…..yawezekana ni mimi tu na hizi akili zangu za panzi ndo maana labda sielewi.

Wajuvi na wajuzi wa mambo nijuzeni, tafadhali.
Hapana usalama wa taifa kwa sasa wanakimbizana kufua nguo za mama
 
Hawezi kufanya hivyo ndo maana yupo humu anaongea reckless.

Ana uhakika wa 99.99% kuwa mimi na yeye hatutakutana mtaani mimi na yeye tu.

Kwa risk level kwake ni ndogo.

Ana kwa ana hawezi kuthubutu kuongea hivyo halafu akarudi nyumbani akiwa na taya ambayo haijavunjika.
Wewe choko utarudi na prolapsed kundu kama Noel Gio
 
Mossad huwa wanadili na mambo ya nyanya na biringanya magengeni na unga na sukari kwenye maduka ya mangi?
mkuu Kila sehem palipo na wananchi Kuna usalama na kama hakuna usalama hapo hakuna wananchi,

ukitaka kuielewa vizuri hii(najua unajua) waulize yanga na simba wamiliki wao ni nani na nani(by name) ukijibu hlo swali ndpo utajua utofauti kati ya nchi, wananchi, serikal na usalama na wote wanaitwa usalama!! [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

au hukumbuki tu juzi jezi zimeshikwa sijui fake sijui makolokolo Gani[emoji15] unamjua mmiliki wa hayo màkontena? mpka Leo umemsikia ametajwa? huo ndyo usalama wataifa

kinachotofautisha kati ya wananchi na usalama ni majukum tu ila wote wanafanya KAZI 1

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wao siyo kila kitu nchini.

Walio kila kitu nchini ni wananchi.

Bila wananchi, hakuna nchi.
watu wamekutana bar wakapanga mipango yao wenyewe wakapeana pesa kabla kazi haijakamilika mmoja anajitoa /kuvunja mkataba afisa usalama mpumbavu anajiingiza kwenye kudai pesa iliyotolewa irudishwe kwa aliyevunja mkataba.... hawa ni maafisa usalama wa namna gani wanaotaka kuingilia kila kitu hata kisich wahusu?
 
You got Makonda on your brain KunduH?

Go suck his uncircumcised micro phallus.
Who posted a dedicated thread about Makonda and wrote over 10,000 words in it, less than a week ago? And how come you seem to have intimate knowledge of Makinda’s private parts?
 
Back
Top Bottom