Hivi idara ya usalama wa taifa wa Tanzania inahusika na kila kitu hadi uuzaji wa nyanya na vitunguu magengeni?

Hivi idara ya usalama wa taifa wa Tanzania inahusika na kila kitu hadi uuzaji wa nyanya na vitunguu magengeni?

Such a lowlife pussy bastard. Running away from your own truth would be more correct in this case.
You, Kundumuzuku, are so funny 😂 🖕🤣.

Now go suck some dyck somewhere.
 
You, Kundumuzuku, are so funny 😂 🖕🤣.

Now go suck some dyck somewhere.
Ukimalizana na Makonda nitafute. Kama bado utakuwa haujawaishwa makaburi ya Kondo.🤣🤣🤣🤣
 
Ukimalizana na Makonda nitafute. Kama bado utakuwa haujawaishwa makaburi ya Kondo.🤣🤣🤣🤣
Nikutafute? Unataka kuphirwa wewe naona…..

Tatizo mi siphiri Kundumuzuku 🤣
 
Your coward faggot ass compels you to hide behind a fake id and yet challenge some popular public figure with violence?
So what are you saying? You wanna catch fade this evening?

Drop the lo and I’ll pull up.

Your old ass can’t do shit.

I’ll make pepperoni pizza out of your face.
 
So what are you saying? You wanna catch fade this evening?

Drop the lo and I’ll pull up.

Your old ass can’t do shit.

I’ll make pepperoni pizza out of your face.
Making fake threats using a fake id is as fag as it can get. I’m out.
 
Nyie jamaa tangu Bcs times ugomvi wenu utaisha lini asee?

Mwanzoni nikadhani mlishawahi kukutana.
 
Usalama wa taifa ndio unao endesha nchi hukiona nchi ni ya ovyo rushwa kwa viongozi ufisadi kutokufuata sheria viongozi kutokuwa na mahadiri ujue usalama wa taifa ni wa ovyo kwa mfano ripoti ya mkaguzi wa serikali imetaja mpaka majina ya watu hakuna haua yoyote ile hiriochukuliwa wamegeuka kuwa wanasiasa badala ya kusaidia nchi

Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
Usalama wa Taifa ni nini?
 
Hayo mambo uliyoyataja wewe si ni kazi ya TAKUKURU?

Sasa usalama wa taifa wanahusikaje na masuala ya rushwa na ubadhirifu wakati taasisi iliyo mahsusi kwa shughuli hizo ipo?
Kazi ya Financial Intelligence Unit(FIU) ni nini?
 
Can sense you don't sound so bold like before, you piece of shit. All the fake bravado is suddenly gone.
I told you to drop your location and I’ll pull up.

Or, pull up at EB25 so we can settle this by shooting the fair one.

The night is still young. If you want the smoke, let me know.

🖕
 
We junya kweli!

Hiyo ni dhima ya TFDA.

What is the role of TFDA in Tanzania?


The objective of TFDA is to protect the health of consumers against hazards associated with food, drugs, herbal drugs, cosmetics and medical devices.
View attachment 2804469
https://procedures.tic.go.tz › menu

Food and Drugs license from TFDA - Tanzania Investment Centre

Hao TFDA wanapewa tu kama watendaji wa mwisho ila wanao nusa mpaka kupata mpango mzima ni hao TISS.

Ni sawa leo litokee tukio la kigaidi, huwezi kuta TISS wako front, wao wakipata ramani wanawai engage polisi au JWTZ.
 
Siyo mjuzi sana wa habari za idara ya usalama wa taifa, Tanzania.

Lakini katika pitapita zangu humu JF, nimekutana na mada kadhaa zilizonishangaza kidogo.

Mtu akienda dukani akikuta bidhaa ambayo haipendi, lawama anabebeshwa usalama wa taifa.

Msanii Diamond umaarufu wake ukianza kupungua, lawama zinaenda kwa usalama wa taifa!

Timu za mpira za Tanzania zisipofanya vizuri kwenye mashindano ya kimataifa, lawama kwa usalama wa taifa!

Ni mimi tu ambaye sielewi dhima nzima ya usalama wa taifa au inakuwaje?

Kwa mfano, usalama wa taifa wanahusikaje na uwepo wa bidhaa za Kenya kwenye maduka ya Tanzania?

Kwa akili zangu hizi za panzi, waamuzi wa mafanikio ya bidhaa ni wateja/ wanunuzi.

Kama wateja/ wanunuzi wanaona bidhaa fulani ni bora kuliko bidhaa ingine, basi wataendelea kuiunga mkono kwa kuinunua.

Na ubora wa bidhaa sidhani kama unahusiana chochote na idara ya usalama wa taifa.

Ubora wa bidhaa unatokana na ubunifu wa mzalishaji. Mzalishaji anapotengeneza bidhaa iliyo bora halafu akaitangaza kwa umma, umma huo ndo utaamua mafanikio ya hiyo bidhaa.

Sasa kama makampuni ya Tanzania hayatengenezi bidhaa zilizo bora kutokana na kushindwa kuwa wabunifu, lawama kwa usalama wa taifa zinahusikaje?

Hmm…..yawezekana ni mimi tu na hizi akili zangu za panzi ndo maana labda sielewi.

Wajuvi na wajuzi wa mambo nijuzeni, tafadhali.
Kwa nchi za wenzetu ambao wako njema Kiuchumi, dhima ya Hoja yako ndio mojawapo ya Malengo Makuu kabisa ya kuanzishwa na kuwepo kwa Mamlaka za Ujasusi katika nchi zao, yaani UJASUSI WA KIUCHUMI. Tena wako serious na sensitive sana kwenye suala hili, hawana masihara hata kidogo kwenye hili suala. Aidha, Mamlaka za Ujasusi ndio zimekuwa injini za Kuendesha Chumi za Nchi zao, ushauri wa Kiuchumi unaotolewa na Mamlaka hizo kwa Watawala wa Nchi zao umekuwa ukizingatiwa kikamilifu kabisa na Watawala wao.
Katika nchi zetu hizi za ki-Afrika mambo ni tofauti kabisa, Mamlaka za Usalama wa Taifa ziko kisiasa zaidi kuliko ku-deal na Masuala ya Uchumi, that's why we're very poor and we'll still reamain poor until when we change our mindsets.
Kudhibiti ubora wa bidhaa zinazozalishwa viwandani ( iwe viwanda vya ndami ya nchi husika au kutoka nchi nyingine) ni miongoni mwa mambo ya msingi kabisa ambayo mamlaka za Usalama wa nchi zinapaswa kushughulika nayo ili kulinda Usalama wa watu ( consumers) pamoja na usalama wa soko la bidhaa za ndani ya nchi husika. Kama utakumbuka, ktk kipindi cha miaka kadhaa iliyopita, CIA/US walizipiga marufuku bidhaa fulani fulani kutoka China kuingia ndani ya mipaka ya nchi ya Marekani kwa sababu za kiusalama, hali ilyoibua vita vya kiuchumi kati ya mataifa hayo mawili. Bidhaa zilizozuiliwa kuingia Marekani ni pamoja na Simu za Mkononi ambazo zilibainika kuwa ni simu za kijasusi (Spy-phones) ambazo zilikuwa na uwezo mkubwa sana wa kudukua mawasiliano ya watumiaji na kisha kutuma taarifa zote watumiaji kwa Majasusi waliopo ndani ya Chama tawala cha Kikomunisti cha China (CPC).
 
Back
Top Bottom