Mpaka leo unaulizia 500M TShs za mwanaume mwenzio za miaka hiyo, haujawahi kushika hela mwamba? Hela isipokuwa kwenye biashara hata uibane vipi inaisha tu lakini pia unaweza ukaitia kwenye biashara napo ikapotea pia ndiyo maana sometimes hata multi-billion dollars company baadhi huwa zinafilisika, half M ya madafu kwa kuila tu inaenda kama upepo.
Kyupi kama chote.. Bongo bahati mbaya msingi kiuno, mtaji kiuno, mufilisi kiuno🤣