Hivi Idris zile Milioni 500 alikula na nani?

Mpaka leo unaulizia 500M TShs za mwanaume mwenzio za miaka hiyo, haujawahi kushika hela mwamba? Hela isipokuwa kwenye biashara hata uibane vipi inaisha tu lakini pia unaweza ukaitia kwenye biashara napo ikapotea pia ndiyo maana sometimes hata multi-billion dollars company baadhi huwa zinafilisika, half M ya madafu kwa kuila tu inaenda kama upepo.
Kumbuka alikuwa akisaidiana kuila na abyss Sepenga haikuchukua hata round.
Tafuta hela.
 
Aliongelea hii kwenye kipindi kama sio kile cha salama jabir (nimesahau jina).

Alisema ni ndugu na marafiki ile kuwasaidia kuwapatia misaada midogo midogo. Huyu ada,yule anauguza,huyu anaomba mtaji, yule nyumba imechakaa sana hana pesa ya kurepair.

Shughuli ndio ilikuwa hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…