Hute
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,537
- 6,472
Hivi huyo kijana ana umri gani? Unajua kuna umri mtu unaweza kuwa mapepe lakini ukiona umri umezidi lakini bado tu una mapepe fulani ambayo wanaume wengine hawana, unatakiwa ukalishwe chini uulizwe au uchunguzwe, hiyo inakuja automatically as age inavyozidi kukua.