Kete Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 6,656
- 6,886
Kakufanya nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Stop being a hater.Hivi huyo kijana ana umri gani? Unajua kuna umri mtu unaweza kuwa mapepe lakini ukiona umri umezidi lakini bado tu una mapepe fulani ambayo wanaume wengine hawana, unatakiwa ukalishwe chini uulizwe au uchunguzwe, hiyo inakuja automatically as age inavyozidi kukua.
Watu WENGI WALIOKUWA NA NJAA,,, baadae wakashika pesa nyingi za ghafla,.. PESA ZIKIISHA bila kufanya chochote cha MAANA,,, HUANGUKIA KWENYE TABIA KAMA YA IDRISA,,, YOTE hayo afanyayo ni KUJISAHAULISHA na PESA zilizoyeyuka...Hivi huyo kijana ana umri gani? Unajua kuna umri mtu unaweza kuwa mapepe lakini ukiona umri umezidi lakini bado tu una mapepe fulani ambayo wanaume wengine hawana, unatakiwa ukalishwe chini uulizwe au uchunguzwe, hiyo inakuja automatically as age inavyozidi kukua.
Uko sahihi kuna watu ni wanafiki sana aisee.Ikiwa wanasema aachwe na maisha aliyochagua basi hata wale mashoga na lesb waachwe kama walivyochagua.Si kwamba namtetea idris au mleta mada lakini tukienda kwa style hii bhasi tusiingilie privacy za watu hata kama ni wapenzi wa jinsia moja
Vinginevyo vyote vilivyobakia ni double standards tu ....
mbona sio comedian, entertainer, enterpreneur etc kama wenzake wa aina hiyo? you know a man is a man. Joti pamoja na kuact udadadada, lakini ana mambo ya kiume sana tofauti na jamaa. anatufanya tudoubt......yake.Stop being a hater.
He's a comedian, Entertainer, enterpreneur. Doing what he does best.
kupoteza monekano wa uanaume. hasa nikiangalia vile anavyolambalamba midomo anavyoongea kwenye clip kwa mange kimambi, na zile picha anajichokonoa masikio halafu analembua macho kama demu anapigwa miti...mwanaume tunapoduu au kupata hisia sidhani kama tunalembua vile. kwa binafsi nikikutana na watu wa aina hiyo huwa nachukia kabisa...Acha chuki wewe kwani kinachokukera kwake nini?? Kijana wa watu ni smart na talented tatizo ww ambaye huna hata cha kufanya
hii sio dunia ya kwake peke yake kwamba aishi anavyopenda yeye, lazima ajali na watu wengine wanavyojisikia kwa yale anayoyafanya. akili za kimarekani hizo kwamba upo kwenye dunia ya watu wengi alafu unajijali peke yako. inakera kuangalia mwanaume mwenzangu ana behave vile...mtanisamehe kama nawakwaza.Mleta mada wewe ni mwanaume au mwanamke? Kama ni ME basi jirekebishe kwanza wewe, acha kufuatilia maisha ya watu, haipendezi ME kuwa hivyo!
Anaishi anavyopenda yeye na sio unavyopenda wewe!!
wewe GENTAMYCINE kama na wewe unalambwa tigo funguka tu, sisi wenzio bado tunauendeleza uanaume na tukiona mwanachama mwenzetu kwenye chama cha wanaume anafanya mambo ambayo hata watoto wetu wakiona wanachafuka tabia, siku zote tutakemea. wewe endelea tu na umarekani wako. tunajua jinsia yako hadi sasa imeshabadilika. simbilisi we!Absolutely rubbish.
joti hana ubunifu. Anajua kujifanya mdada na kukifanya babu. Over.mbona sio comedian, entertainer, enterpreneur etc kama wenzake wa aina hiyo? you know a man is a man. Joti pamoja na kuact udadadada, lakini ana mambo ya kiume sana tofauti na jamaa. anatufanya tudoubt......yake.
Calvin Hart,Chris Rock,Kate Williams,Chris Tucker,Cedric The Entertainer nk wana umri gani?Hivi huyo kijana ana umri gani? Unajua kuna umri mtu unaweza kuwa mapepe lakini ukiona umri umezidi lakini bado tu una mapepe fulani ambayo wanaume wengine hawana, unatakiwa ukalishwe chini uulizwe au uchunguzwe, hiyo inakuja automatically as age inavyozidi kukua.
Hata yy hayapendi ndo maana anafanya kama kichekeshokupoteza monekano wa uanaume. hasa nikiangalia vile anavyolambalamba midomo anavyoongea kwenye clip kwa mange kimambi, na zile picha anajichokonoa masikio halafu analembua macho kama demu anapigwa miti...mwanaume tunapoduu au kupata hisia sidhani kama tunalembua vile. kwa binafsi nikikutana na watu wa aina hiyo huwa nachukia kabisa...