kamanzi06
JF-Expert Member
- Jun 4, 2012
- 350
- 164
Mbona lemutus ana umri mkubwaHivi huyo kijana ana umri gani? Unajua kuna umri mtu unaweza kuwa mapepe lakini ukiona umri umezidi lakini bado tu una mapepe fulani ambayo wanaume wengine hawana, unatakiwa ukalishwe chini uulizwe au uchunguzwe, hiyo inakuja automatically as age inavyozidi kukua.