hivi huyo kijana ana umri gani? unajua kuna umri mtu unaweza kuwa mapepe lakini ukiona umri umezidi lakini bado tu una mapepe fulani ambayo wanaume wengine hawana, unatakiwa ukalishwe chini uulizwe au uchunguzwe. hiyo inakuja automatically as age inavyozidi kukua....
wewe ni yeye nini, mbona unamtetea. kwa kifupi ni kwamba, hapa duniani kuna makundi ya watu wawili tu, mwanaume na mwanamke, sasa sisi wanaume halisi tukiona jinsia yetu inaingiliwa na watu wasioeleweka wanachafua jinsia yetu, tunaumia mioyo. wewe kama upo kama watu wasioeleweka ni kwamba hata kama hunisaidii chochote maishani mwangu mimi unanikeraaaaAmeshawahi hata kukuomba Hela ya Chakula au Kodi ya Nyumba au Lifti katika Gari yako? Miswahili bhana!!!!!!!
wewe ni yeye nini, mbona unamtetea. kwa kifupi ni kwamba, hapa duniani kuna makundi ya watu wawili tu, mwanaume na mwanamke, sasa sisi wanaume halisi tukiona jinsia yetu inaingiliwa na watu wasioeleweka wanachafua jinsia yetu, tunaumia mioyo. wewe kama upo kama watu wasioeleweka ni kwamba hata kama hunisaidii chochote maishani mwangu mimi unanikeraaaa
Si kwamba namtetea idris au mleta mada lakini tukienda kwa style hii bhasi tusiingilie privacy za watu hata kama ni wapenzi wa jinsia mojaNdiyo aina ya maisha aliyochagua kuishi,najua tuna aina ya maisha tuliyozoea tulio wengi,ila tujue nyakati zimebadilika mtoto wa mwenzio sio wako and your life is your life,you need to be yourself n mind ur bizz...
Kinachowatatiza wengi ni ule "utamaduni" tulizoea_ wajameni nyakati zimechange kila mtu kivyake as far as havunji sheria na kuingilia privacy yako!