Mbona lemutus ana umri mkubwaHivi huyo kijana ana umri gani? Unajua kuna umri mtu unaweza kuwa mapepe lakini ukiona umri umezidi lakini bado tu una mapepe fulani ambayo wanaume wengine hawana, unatakiwa ukalishwe chini uulizwe au uchunguzwe, hiyo inakuja automatically as age inavyozidi kukua.
Sasa Wewe mbona ndio mapepe kuliko huyo Idrissa?Hivi huyo kijana ana umri gani? Unajua kuna umri mtu unaweza kuwa mapepe lakini ukiona umri umezidi lakini bado tu una mapepe fulani ambayo wanaume wengine hawana, unatakiwa ukalishwe chini uulizwe au uchunguzwe, hiyo inakuja automatically as age inavyozidi kukua.
Kweli kabisa mkuu wanadhalilisha sanawewe ni yeye nini, mbona unamtetea. kwa kifupi ni kwamba, hapa duniani kuna makundi ya watu wawili tu, mwanaume na mwanamke, sasa sisi wanaume halisi tukiona jinsia yetu inaingiliwa na watu wasioeleweka wanachafua jinsia yetu, tunaumia mioyo. wewe kama upo kama watu wasioeleweka ni kwamba hata kama hunisaidii chochote maishani mwangu mimi unanikeraaaa
Elezea alichofanya ili tutoe michango ya mawazo yenye tija.Hivi huyo kijana ana umri gani? Unajua kuna umri mtu unaweza kuwa mapepe lakini ukiona umri umezidi lakini bado tu una mapepe fulani ambayo wanaume wengine hawana, unatakiwa ukalishwe chini uulizwe au uchunguzwe, hiyo inakuja automatically as age inavyozidi kukua.
hahahaha duh!Watu WENGI WALIOKUWA NA NJAA,,, baadae wakashika pesa nyingi za ghafla,.. PESA ZIKIISHA bila kufanya chochote cha MAANA,,, HUANGUKIA KWENYE TABIA KAMA YA IDRISA,,, YOTE hayo afanyayo ni KUJISAHAULISHA na PESA zilizoyeyuka...
Kafanya nini!?.wewe ni yeye nini, mbona unamtetea. kwa kifupi ni kwamba, hapa duniani kuna makundi ya watu wawili tu, mwanaume na mwanamke, sasa sisi wanaume halisi tukiona jinsia yetu inaingiliwa na watu wasioeleweka wanachafua jinsia yetu, tunaumia mioyo. wewe kama upo kama watu wasioeleweka ni kwamba hata kama hunisaidii chochote maishani mwangu mimi unanikeraaaa