Hivi ikikutokea wewe utafanyaje?????!!!!!!!!

Nauchuna tu. Kwani si salamu tu hizo, tena za kwenye radio.
 
aisee siwezi kuendelea kulala wala kungoja asubuhi,kitaeleweka usiku huohuo
 
Napasua redio, alafu namyonga kisha nasepa kusikojulika tena hapa hapa bongo mana wana intelijensia wako busy na chadema hawatanitafuta.
We utakuwa mnyalu nini? inawezekana ukajinyonga.
 
Napasua redio, alafu namyonga kisha nasepa kusikojulika tena hapa hapa bongo mana wana intelijensia wako busy na chadema hawatanitafuta.

Ahaaa haaaaaaa wakiwa wanatoka mawindoni baada ya kuwakosa wazee wa pipozz halafu kwa bahati mbaya wakakutana na wewe hasira zote wanakuangushia wewe.
 
Ntajua ni majina tu yamefanana ntaendelea kukumbatia
 
Inabidi nimuulize moyo wake yeye uko wapi maana kulala nae na kupeana ahadi kemkem haimaanishi anakupenda/unampenda bali ni matamanio ya miili yetu tu! Upendo upo hautafutwi, ukiitafuta matokeo yake ndo hayo mwenzio anasalimiwa redioni!

watu kama nyie mna roho ngumu nyie.
 
Nimesoma maoni kibao ila sijaridhika kwa kweli,ikitokea kwa mpenz unaempennda itakua imekaa vibaya sana.day!!inabid ujikaushe kama haujausikia huo ujumbe ndipo utafakari kuchukua hatua.maoni yangu ndio hivyo jamani.
 
kimyakimya km sijasikia,nalala hadi asubuhi,kukipambazuka namwambia mwanzo mwisho bila ugomvi afu naachana nae kuanzia hapo.
 
Hakuna ushahidi hapo, nampiga busu kisha utaratibu mwingine unachukua nafasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…