Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We utakuwa mnyalu nini? inawezekana ukajinyonga.Napasua redio, alafu namyonga kisha nasepa kusikojulika tena hapa hapa bongo mana wana intelijensia wako busy na chadema hawatanitafuta.
Napasua redio, alafu namyonga kisha nasepa kusikojulika tena hapa hapa bongo mana wana intelijensia wako busy na chadema hawatanitafuta.
Inabidi nimuulize moyo wake yeye uko wapi maana kulala nae na kupeana ahadi kemkem haimaanishi anakupenda/unampenda bali ni matamanio ya miili yetu tu! Upendo upo hautafutwi, ukiitafuta matokeo yake ndo hayo mwenzio anasalimiwa redioni!
kimyakimya km sijasikia,nalala hadi asubuhi,kukipambazuka namwambia mwanzo mwisho bila ugomvi afu naachana nae kuanzia hapo.Wana wa familia ya JF mambo vipi?.Hii ni kwa jisia zote ME na KE.
Mko chumbani usiku mmepumzika kila mmoja akiwa anamuahidi mwenzie ahadi tamu tamu juu ya kulitunza na kulienzi penzi lenu na ahadi nyingi za kufarijiana, pembeni yenu mezani mkiwa mmefungulia redio kwa sauti ya kadri na kipindi kilicho hewani kwa wakati huo ni cha LOVE NIGHT cha kutakiana njozi njema na kheri katika mahusiano ya mapenzi.Mkiwa mmelala japo si usingizi huku mmekumbatiana mara unasikia kwenye redio mtangazaji anasoma ujumbe wa fulani bin fulani wa sehemu fulani anafanya kazi katika kampuni/shirika fulani akisema namtakia njozi njema mpenzi/mchumba wangu fulani akiwa sehemu fulani namwambia nampenda sana mwezi wa 5 tutaitwa mke na mume.Kama ni wewe likikupata hilo utachukua uamuzi gani