Chama cha kiafrika kikiongoza zaidi ya miaka 40 kinakuwa si chama cha Siasa bali kikundi cha magaidi, CIA!
Ni kweli wanaweza na wameisha nunua zaidi ya nusu ya viongozi wapinzani wa Chadema, CUF, ACT nk.
Na bado wanaendelea kununua na kushawishi kwa nguvu na vitisho.
Nimejiuliza tu Ikitokea wakawapata au kuwanyamazisha wapinzania wote na kuchukua majimbo yote muhimu waliyokuwa ya Upinzania au Ikatokea wakawafunga hata kuwapoteza baadhi ya viongozi wapinzani nini kitatoakea.
Kwanza: watanunua lakini mioyo na dhamira ya watu itabaki Upinzani.
Pili: Nchi itakuwa ngumu sana kutawalika kwa amani.
Tatu: Uchumi wa nchi utaporomoka.
Nne: Kwa kuogopa vitisho, mateso . wengi watakimbilia nje ya nchi kama wakimbizi wa kisiasa kama Tundu Lissu na Roma na hapo ndhipo usalama wa taifa utakuwa matatani zaidi.
Usama wetu upo mikononi mwa CCM. wakipenda nchi hiii itakuwa salama.
Uhuru wa mtu haununuliwe.
nchi itakuwa imerudi kuwa chini ya ukoloni (mkoloni mweusi). rasmi Tanzania itaingia kwenye mapambano ya kudai uhuru (ambayo kwa nature yake ni makubwa na hatari kwa pande zote kuliko mapambano ya kudai demokrasia). gharama yake itakuwa kubwa mnoo kuliko hata ile waliyoiingia kina mwl JKN na wapigania uhuru wenziwe.Ni kweli wanaweza na wameisha nunua zaidi ya nusu ya viongozi wapinzani wa Chadema, CUF, ACT nk.
Na bado wanaendelea kununua na kushawishi kwa nguvu na vitisho.
Nimejiuliza tu Ikitokea wakawapata au kuwanyamazisha wapinzania wote na kuchukua majimbo yote muhimu waliyokuwa ya Upinzania au Ikatokea wakawafunga hata kuwapoteza baadhi ya viongozi wapinzani nini kitatoakea.
Kwanza: watanunua lakini mioyo na dhamira ya watu itabaki Upinzani.
Pili: Nchi itakuwa ngumu sana kutawalika kwa amani.
Tatu: Uchumi wa nchi utaporomoka.
Nne: Kwa kuogopa vitisho, mateso . wengi watakimbilia nje ya nchi kama wakimbizi wa kisiasa kama Tundu Lissu na Roma na hapo ndhipo usalama wa taifa utakuwa matatani zaidi.
Usalama wetu upo mikononi mwa CCM. wakipenda nchi hiii itakuwa salama.
Uhuru wa mtu haununuliwe.
Upinzani ni muhimu kwa CHECK AND BALANCES; kuna changamoto nyingi sasa hivi hazina mtu wa kuzisemea na nyingine zina matokeo hasi kwa uchumi wetu mfano utozaji kodi usioendana na uhalisia wa biashara au mtaji wa mtu.Ni kweli wanaweza na wameisha nunua zaidi ya nusu ya viongozi wapinzani wa Chadema, CUF, ACT nk.
Na bado wanaendelea kununua na kushawishi kwa nguvu na vitisho.
Nimejiuliza tu Ikitokea wakawapata au kuwanyamazisha wapinzania wote na kuchukua majimbo yote muhimu waliyokuwa ya Upinzania au Ikatokea wakawafunga hata kuwapoteza baadhi ya viongozi wapinzani nini kitatoakea.
Kwanza: watanunua lakini mioyo na dhamira ya watu itabaki Upinzani.
Pili: Nchi itakuwa ngumu sana kutawalika kwa amani.
Tatu: Uchumi wa nchi utaporomoka.
Nne: Kwa kuogopa vitisho, mateso . wengi watakimbilia nje ya nchi kama wakimbizi wa kisiasa kama Tundu Lissu na Roma na hapo ndhipo usalama wa taifa utakuwa matatani zaidi.
Usalama wetu upo mikononi mwa CCM. wakipenda nchi hiii itakuwa salama.
Uhuru wa mtu haununuliwe.
UPINZANI wenyewe hawajielewi wamevurugana kwenye vyama vyao ndo maana wana hama sina hakika kama CCM ndo huwanunuaNi kweli wanaweza na wameisha nunua zaidi ya nusu ya viongozi wapinzani wa Chadema, CUF, ACT nk.
Na bado wanaendelea kununua na kushawishi kwa nguvu na vitisho.
Nimejiuliza tu Ikitokea wakawapata au kuwanyamazisha wapinzania wote na kuchukua majimbo yote muhimu waliyokuwa ya Upinzania au Ikatokea wakawafunga hata kuwapoteza baadhi ya viongozi wapinzani nini kitatoakea.
Kwanza: watanunua lakini mioyo na dhamira ya watu itabaki Upinzani.
Pili: Nchi itakuwa ngumu sana kutawalika kwa amani.
Tatu: Uchumi wa nchi utaporomoka.
Nne: Kwa kuogopa vitisho, mateso . wengi watakimbilia nje ya nchi kama wakimbizi wa kisiasa kama Tundu Lissu na Roma na hapo ndhipo usalama wa taifa utakuwa matatani zaidi.
Usalama wetu upo mikononi mwa CCM. wakipenda nchi hiii itakuwa salama.
Uhuru wa mtu haununuliwe.
Ni kweli wanaweza na wameisha nunua zaidi ya nusu ya viongozi wapinzani wa Chadema, CUF, ACT nk.
Na bado wanaendelea kununua na kushawishi kwa nguvu na vitisho.
Nimejiuliza tu Ikitokea wakawapata au kuwanyamazisha wapinzania wote na kuchukua majimbo yote muhimu waliyokuwa ya Upinzania au Ikatokea wakawafunga hata kuwapoteza baadhi ya viongozi wapinzani nini kitatoakea.
Kwanza: watanunua lakini mioyo na dhamira ya watu itabaki Upinzani.
Pili: Nchi itakuwa ngumu sana kutawalika kwa amani.
Tatu: Uchumi wa nchi utaporomoka.
Nne: Kwa kuogopa vitisho, mateso . wengi watakimbilia nje ya nchi kama wakimbizi wa kisiasa kama Tundu Lissu na Roma na hapo ndhipo usalama wa taifa utakuwa matatani zaidi.
Usalama wetu upo mikononi mwa CCM. wakipenda nchi hiii itakuwa salama.
Uhuru wa mtu haununuliwe.
CCM wanatia huruma, wale wenye uwezo wa kujenga hoja wameshaisha, kwa sasa mbinu wanatumia kuzima mashambulizi ya upinzani ni kuwapiga pin kila kona.hakuna kukutana hakuna kuongea....ukijidai kutoa mdomo basi kesi ya uchochezi nakuhusu unahangaika nayo.na wale wanaonekana wenye matumbo yenye njaa kali basi wanafanyiwa procurement....yaani kupewa ugali..wanashiba wanatulia.Ni kweli wanaweza na wameisha nunua zaidi ya nusu ya viongozi wapinzani wa Chadema, CUF, ACT nk.