Meshe
JF-Expert Member
- Nov 14, 2011
- 398
- 512
CCC tumeiamini ila imetuangusha!!
CCM limekiwa Dubwana ambalo hata wanachama wake hawawezi kulidhibiti!!
Wakuu wake pia hawalipendi hilo Dubwana na wanaliogopa. Hata hivyo hawana namna ya kuliepuka kwani ndio njia pekee ya kuwapatia I hakika wa Madaraka wanayoyatamani na kuyapenda!!
Hivyo wakuu hao wanaihitaji CCM zaidi kuliko wanavyoipenda CCM.
Kwa bahati mbaya sana vyombo vya kusimamia mifumo ya nchi navyo havijaweza kujinusuru kutoka kwenye Dubwana hili tangu walivyotumbukizwa humo enzi za Chama kushika Hatamu za uongozi!!
Sasa hivi hili Dubwana kuliita Chama cha siasa ni makosa.
Njia pekee ambaya ingenusuru siasa za nchi ilikuwa ni katiba mpya ambayo pia ilitekwa na kukwamishwa na Dubwana hili!!
Mungu atujaalie watanzania tujitambue tuje tuipiganie na kuitaka Tanzania tunayoitaka!!
Katiba
Katiba
Katiba
Katiba
Katiba
Katiba[emoji355]️[emoji355]️
Sent from my iPhone using JamiiForums