Hivi ikitokea watu wakaoana kutoka humu si itakuwa balaa!

Hivi ikitokea watu wakaoana kutoka humu si itakuwa balaa!

EJM_

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
3,836
Reaction score
2,100
Hivi honestly ikatokea watu wakakutana humu, wakawa wachumba humu, wakaoana humu, hiyo nyumba si itakuwa balaa tupu! Maana watakuwa na kila kitu kinafanana na mi nahisi kila mtu atakuwa analala na .......................chini ya mto
 
Hebu fafanua mkuu duh!

Unajua inasemekana kwenye mahusiano sio vizuri sana muwe very common kwenye mambo mengi wataalam wanasema hiyo relationship haiwezi ku work. Sasa humu wengi ni wale tunaoona mambo na kutafakari kwa kina na kujaribu kujenga hoja na kuitetea kwa kila hali, sasa kama ndio mke na mume si kila siku kutakuwa na ubishi usioisha maana hakuna atakayekuwa tayari ku give up
 
we nawe....nikupe taarifa usiyoijua.....nategemea kufunga ndoa hivi karibuni na mwanaJF mwezangu na kikao cha harusi ni leo wanakamati wakiwa ni JF members.....JF IS BEYOND KEYBOARDS bana
 
Sio wote walio member wa Jf, wanashiriki ktk kujenga hoja mbalimbali wengine ni wafuatiliaji tu wa mijadala mbalimbali. Wapo wengi sana wamejuana na kupata wachumba humu humu na maisha yanaendelea. Inatakiwa ujue kuwa hapa ni ushindani wa hoja tu tukitoka hapa uwa ni marafiki wala hamna ugomvi.
Unajua inasemekana kwenye mahusiano sio vizuri sana muwe very common kwenye mambo mengi wataalam wanasema hiyo relationship haiwezi ku work. Sasa humu wengi ni wale tunaoona mambo na kutafakari kwa kina na kujaribu kujenga hoja na kuitetea kwa kila hali, sasa kama ndio mke na mume si kila siku kutakuwa na ubishi usioisha maana hakuna atakayekuwa tayari ku give up
 
Preta mbona mie simo kwenye kamati? Inabidi na mi nitafute mchumba humu sasa
 
si kweli bana inategemea jinsi gani mnavyopendana.
 
Kweli eeh? I need a mke from JF
 
Salaaaam kwenu nyote wandugu, nilikuwa napita tuu ila nitarudi tena baadaye........
 
Everything has its own inception...... That was mine. Preta asante MWAYA...
 
we nawe....nikupe taarifa usiyoijua.....nategemea kufunga ndoa hivi karibuni na mwanaJF mwezangu na kikao cha harusi ni leo wanakamati wakiwa ni JF members.....JF IS BEYOND KEYBOARDS bana
Unataka kuolewa mara ngapi?
 
Mh, kesi hiyooo....
 
Hee! Ngoja nikishafunga ndoa yangu ya jf nitajibu.
 
Funga na mimi Husninyo
 
Back
Top Bottom