Hivi ile bodi ya mishahara iliishia wapi?

CK Allan

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2013
Posts
2,781
Reaction score
6,139
Mara ya mwisho tuliona waziri Mkuu akiongea na wajumbe wa bodi hiyo akiwataka wafanye bidii kuweka sawa mapendekezo Yao . Ikumbukwe mheshimiwa Raise alishatoa maelekezo na kuleta natumaini makubwa kuwa mfanyakazi angelipwa kutokana na kazi yake

Sasa wajumbe wa hii bodi wameenda wapi Tena?

Au nimefoka?
 
Hivi kuna Tume ya mishahara kweli? kama ipo kazi zake ni nini.
 
Iliundwa Mkuu, hebu Google utaona

Sawa naona kuna kitu kinachoitwa Bodi ya mishahara na masilahi bwana mmoja mwaka 2016 alisema ipo kwenye hatua za mwisho za kurekebisha mfumo mzima wa mishahara sijui ndio hiyo unayouliza au hii ambayo jamaa wa Namungo mwaka jana 2019 aliitaja kama tume na kuahidi kuwa itatoa taarifa mapema?
 
Iliundwa, ikapewa hadidu za rejea, imapitia salary scale za taasisi baadhi za umma, ikaona harmonization ni jambo ambalo haliwezekani.

Kwa sababu kuna baadhi ya taasisi mishahara mikubwa sana ila nyingine scale ni ya TGSD ya laki 7.1 huku wengine wakiwa na mishahara ya 3M kwenye job grade moja.

Sasa kuweka harmonization inabidi uwapandishe hawa wa laki 7 wote zaidi ya 300k kwenda 3M, hapo utapandisha payroll cost ya serikali kwa zaidi ya 40%, sasa ni 600B, itapanda hadi 900B kwa mwezi,

Hapo kinachofuata ni kua makusanyo yote ya serikali itabidi yatumike kulipa mishahara tena makusanyo yakiwa kidogo itabidi tukope kulipa mishahara, hakuna barabara wala hospitali mpya.

Ndio maana serikali hadi sasa haitaki kupandisha watu mishahara kwa kuogopa kuvunja ceiling ya payroll cost yake.

Sasa hivi ni taasisi chache ambazo zinampemdeza mkuu anawapa kibari cha kupandisha mishahara wengine wanabakia kufa njaa.
 
Hivi hii kauli ..'usinifokee' chanzo chake kipi!?
 
Fafanua kidogo kuhusu hapa chini

[ Sasa hivi ni taasisi chache ambazo zinampemdeza mkuu anawapa kibari cha kupandisha mishahara wengine wanabakia kufa njaa. ]
 
na hii inaweza kuwa fimbo ya kumchapia jiwe....amefuta watu kazi kwa mbwembwe za vyeti feki na kusema haongezi mshahara mpaka amalize kusafisha...alipomaliza kusafisha akaja na swaga za tume ya mushahara...sasa atulie tu akutane na hasira za wananchi
 
Sawa naona kuna kitu kinachoitwa Bodi ya mishahara na masilahi bwana mmoja mwaka 2016 alisema ipo kwenye hatua za mwisho za kurekebisha mfumo mzima wa mishahara sijui ndio hiyo unayouliza au hii ambayo jamaa wa Namungo mwaka jana 2019 aliitaja kama tume na kuahidi kuwa itatoa taarifa mapema?
Ndio hiyo hiyo
 
Mara ya mwisho tuliona waziri Mkuu akiongea na wajumbe wa bodi hiyo akiwataka wafanye bidii kuweka sawa mapendekezo Yao . Ikumbukwe mheshimiwa Raise alishatoa maelekezo na kuleta natumaini makubwa kuwa mfanyakazi angelipwa kutokana na kazi yake

Sasa wajumbe wa hii bodi wameenda wapi Tena?

Au nimefoka?
Kuna kosa lilifanyika sasa hivi kurekebisha ni ngumu sana hasa kwenye tofauti ya mishahara.
Mfano muhasibu wa halmashauri mwenye degree 710,000/= ukigusa muhasibu wa TANROAD au TCRA au TBS ni kuanzia 1.8-2.3mill.
Ila hao wote in graduate wanaoanza kazi.
Hawawezi kumuinua huyu wa halmashauri alingane na hao.
Kwahiyo bodi imekaa kimya inakula posho
 
Mara ya mwisho tuliona waziri Mkuu akiongea na wajumbe wa bodi hiyo akiwataka wafanye bidii kuweka sawa mapendekezo Yao . Ikumbukwe mheshimiwa Raise alishatoa maelekezo na kuleta natumaini makubwa kuwa mfanyakazi angelipwa kutokana na kazi yake

Sasa wajumbe wa hii bodi wameenda wapi Tena?

Au nimefoka?
Iliishia kwenye lori (gari)
 
Mfano muhasibu wa halmashauri mwenye degree 710,000/= ukigusa muhasibu wa TANROAD au TCRA au TBS ni kuanzia 1.8-2.3mill.
Aisee,
This is My Country, i miss it kwa kweli; Back in November

Mashaka Warioba,
St. George, Bermuda
 
Back
Top Bottom