YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,900
- 52,056
Tanzania kuna watu wanajua kubuni vitu hewa na kupiga pesa nakumbuka kuna mtu mmoja alikuja na dawa yake inaitwa Ngetwa .Kila kona ya wimbo ulikuwa ngetwa ngetwa maajenti walikuwa kila kona mitaani, maofisini ,makanisani nk ngetwa ilipoteaje Tanzania.
Jamaa alipata pesa Sana yuko wapi siku hizi? Mwasapile tunajua alipo huyu wa ngetwa yuko wapi?
Jamaa alipata pesa Sana yuko wapi siku hizi? Mwasapile tunajua alipo huyu wa ngetwa yuko wapi?