NostradamusEstrademe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 3,868
- 5,164
Dr Isack Ndodi amepotelea wapi?Bwana asifiwe
Kuna duka lipo ubungo nyuma ya nbc bank unanyooshs na ile njia ya vumbi utakuta salon ya kiume opposite yake wanauza ngetwaTanzania kuna watu wanajua kubuni vitu hewa na kupiga pesa nakumbuka kuna mtu mmoja alikuja na dawa yake inaitwa Ngetwa .Kila kona ya wimbo ulikuwa ngetwa ngetwa maajenti walikuwa kila kona mitaani, maofisini ,makanisani nk ngetwa ilipoteaje Tanzania.
Jamaa alipata pesa Sana yuko wapi siku hizi? Mwasapile tunajua alipo huyu wa ngetwa yuko wapi?
Hhhaa alikua anatumia maza...lol..za kutosha aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ulitumia galoni ngapi.?
Nimemdharau sana kabudi !Unamaanisha zile chupa zilizotoka Madagascar? Kama ilikuwa sumu upinzani wamepona maana hawakuonjeshwa hata tone.
Hhhaa alikua anatumia maza...lol..za kutosha aisee
Hhaaaha sikumbuki Bei lakini nakumbuka was above 20! Iwekwe kwenye friji..dah. .nenda Sana ubungo plaza! DahHebu tukumbushe bei kwa galoni, mkoani unatumiwa..?
Sema jamaa kwa tanatalila hajambo.Nishawahi kumchana live khs tambi lake
Ova
kwa mahaba hayo bibie unakaribia kuvaa pichu kichwani.Unamaanisha zile chupa zilizotoka Madagascar? Kama ilikuwa sumu upinzani wamepona maana hawakuonjeshwa hata tone.
Sitakua wa kwanzakwa mahaba hayo bibie unakaribia kuvaa pichu kichwani.
Ni kweliMlonge kwa kuchelewa kufika kileleni unafaa sana!!!
Umesahau doctor Ndodi?Mimi naikumbuka FITERAWA ya Dr. Rahabu, pale Ubungo Plaza alipiga hela sana kwa dozi za Vidonda vya Tumbo.
Galoni moja 5L aliuza 150k mamamae..!!
Matunge alikuwa noma eti alikuwa anatangaza ana dawa ya mvuto wa mapenzi🙄Ila jamaa alikuwa amejipanga, packaging imeenda shule hadi ile leaflet kwa ndani.
BTW:Kuna jamaa mwingine alikuwa akiitwa MATUNGE HERBALIST miaka hiyo ya 2000.
Halafu walikuwa na masharti dawa ikae kwenye fridge muda woteIna ladha mbaya km viazi Ulaya ukile kibichi☹️☹️