Hivi ile dawa iliyovuma sana ya Ngetwa ilipotelea Wapi watu waliinywa hadi basi

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Posts
36,900
Reaction score
52,056
Tanzania kuna watu wanajua kubuni vitu hewa na kupiga pesa nakumbuka kuna mtu mmoja alikuja na dawa yake inaitwa Ngetwa .Kila kona ya wimbo ulikuwa ngetwa ngetwa maajenti walikuwa kila kona mitaani, maofisini ,makanisani nk ngetwa ilipoteaje Tanzania.

Jamaa alipata pesa Sana yuko wapi siku hizi? Mwasapile tunajua alipo huyu wa ngetwa yuko wapi?
 

Mzee Ngetwa alifariki kitambo sana, msaidizi wake akaiba formula akatoa ya kwake inaitwa Ngoka ila haikufurukuta popote!

Familia yake bado wanazalisha dawa lakini nadhani kwa small scale si kama baba yao alivyokuwa.
 
Muasisi wa hiyo kitu naskia alikua ni Lecturer pale SUA Prof Reuben Mnyukwa na ndugu zake
 
Aliwalisha watu maganda ya miti na wengine kupata madhara na yeye lazima yamkute, ndivyo haki ya Mungu huwa.
 
Siku hizi kuna Mhindi namwonaga anajitangaza kwenye TV sikumbuki Chanel gani ile,, anasemaga yuko Kariakoo nadhani..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…