Hivi ile dawa iliyovuma sana ya Ngetwa ilipotelea Wapi watu waliinywa hadi basi

Unataka ngapi kiongozi?
 
Dawa ya madagascar ndio inavuma kwa sasa huko chattle
 
Kuna watu walikuwa wanaenda Kwa mafundi mbao wanakusanya maranda wanapaki, ole wako ukutane na mti wenye sumu.
 
Kahamia Sam nujoma hili jengo jipya la ppf, iliponyesha?
Mimi naikumbuka FITERAWA ya Dr. Rahabu, pale Ubungo Plaza alipiga hela sana kwa dozi za Vidonda vya Tumbo.

Galoni moja 5L aliuza 150k mamamae..!!
 
πŸ˜€πŸ˜†πŸ˜€ umenikumbusha mbali sana mzee wangu kupiga sana Ngetwa ya mzee Matunge herbalist clinic
 
Wakuu fiterawa nimekunywa ilikwa ni stress za maisha baada ya kulata kazi tumbo lilitulia nilikiwa na tatizo la gastric ulcers, kuna mwingine wa kitunda anayoa dawa kama mkaa uliosagwa.
 
Wakuu fiterawa nimekunywa ilikwa ni stress za maisha baada ya kulata kazi tumbo lilitulia nilikiwa na tatizo la gastric ulcers, kuna mwingine wa kitunda anayoa dawa kama mkaa uliosagwa.

Huo ulikuwa mkaa tu mkuu!
 
Wakuu fiterawa nimekunywa ilikwa ni stress za maisha baada ya kulata kazi tumbo lilitulia nilikiwa na tatizo la gastric ulcers, kuna mwingine wa kitunda anayoa dawa kama mkaa uliosagwa.
Ha ha ha kiingereza wanaita activated charcoal, unaweza kujitengenezea nyumbani ukiamua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…