Hivi ile kampeni ya Simba kujenga Uwanja wake imeishia wapi?

Hivi ile kampeni ya Simba kujenga Uwanja wake imeishia wapi?

Mara baada ya aliyekuwa mtendaji mkuu wa Simba Barbara Gonzalez kuzuiliwa kukaa jukwaa kuu na watoto wake alikuja na wazo la Simba ijenge uwanja wake.

Ninaomba Wana Simba wenzangu mnisaidie kujibu haya maswali;

(1) Ile kampeni yetu ya kuchangia ujenzi wa uwanja wa Simba imeishia wapi?

(2) Je, zile fedha ambazo tulichanga kwa ajili ya ujenzi wa uwanja zimeenda wapi?

(3) Je, waliotoa wazo la Simba inaweza kujenga uwanja wake wako wapi kutupa mrejesho wa hatua gani wamefikia?

(4) Je, hela zetu zimeliwa na viongozi wa Simba?

(5) Je, mwekezaji wetu ndugu mwamedi yeye alitoa ahadi ya kuchangia bili 2 kwenye ujenzi, je, ametekeleza hiyo ahadi yake?

View attachment 2627999View attachment 2628000
Unatafuta kulogwa ?

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
We jeraha halijakauka we unamwaga juu yake spirit
 
Back
Top Bottom