mwarabu feki
JF-Expert Member
- Feb 16, 2023
- 811
- 1,811
Mkuu Toka Yang'a imeingiza fainali umepotea Mazuma humu jf sportsHaiwahusu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Toka Yang'a imeingiza fainali umepotea Mazuma humu jf sportsHaiwahusu
Nipo bana naiangalia Yang'a nasema hiiiiii...Mkuu Toka Yang'a imeingiza fainali umepotea Mazuma humu jf sports
Unatafuta kulogwa ?Mara baada ya aliyekuwa mtendaji mkuu wa Simba Barbara Gonzalez kuzuiliwa kukaa jukwaa kuu na watoto wake alikuja na wazo la Simba ijenge uwanja wake.
Ninaomba Wana Simba wenzangu mnisaidie kujibu haya maswali;
(1) Ile kampeni yetu ya kuchangia ujenzi wa uwanja wa Simba imeishia wapi?
(2) Je, zile fedha ambazo tulichanga kwa ajili ya ujenzi wa uwanja zimeenda wapi?
(3) Je, waliotoa wazo la Simba inaweza kujenga uwanja wake wako wapi kutupa mrejesho wa hatua gani wamefikia?
(4) Je, hela zetu zimeliwa na viongozi wa Simba?
(5) Je, mwekezaji wetu ndugu mwamedi yeye alitoa ahadi ya kuchangia bili 2 kwenye ujenzi, je, ametekeleza hiyo ahadi yake?
View attachment 2627999View attachment 2628000