SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Hii timu imekaa kitapeli sana, wanaokolewa tu na utakatifu wa Max Nzengeli.
Walitutangazia kwa mbwembwe kuwa wamepewa mwaliko maalumu huko Kenya wakasema pia wamealikwa na vilabu vikubwa Ulaya kwa ajili ya preseason, wakaishia kucheza Kombe la Mpumalanga ambalo halina tofauti na lile la Shafii Dauda wanalocheza hadi Bodaboda FC.
Nawakumbusha tu maana baadae msije mkasingizia pre-season yenu haikukamilika kwa jinsi mlivyopanga.