ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Unaongea nini wewe mbumbumbu? Wakati Hersi anasema mialiko ipo Kenya, Europe na South Africa ulika busy na Mzee Magoma sasa hivi unasumbua watu na u mbumbumbu wakoHii timu imekaa kitapeli sana, wanaokolewa tu na utakatifu wa Max Nzengeli.
Walitutangazia kwa mbwembwe kuwa wamepewa mwaliko maalumu huko Kenya wakasema pia wamealikwa na vilabu vikubwa Ulaya kwa ajili ya preseason, wakaishia kucheza Kombe la Mpumalanga ambalo halina tofauti na lile la Shafii Dauda wanalocheza hadi Bodaboda FC.
Nawakumbusha tu maana baadae msije mkasingizia pre-season yenu haikukamilika kwa jinsi mlivyopanga.