Hivi ile mialiko ya Yanga kwenda Ulaya na Kenya kwenye preseason hii iliishia wapi?

Maana halisi ya pre season lazima ufungwe na upate challenge hususan kutoka timu kubwa kama za Bundesliga! Sio oreseason mnacheza na timu za bodaboda wa misri alafu mnajisifu mmefanya maandalizi matokeo yake ndiyo kukandwa kila mnapokutana na timu imara😄
Hata Bundesliga wana "Ihefu" zao ndiyo mmecheza nayo hiyo. Eti "maana halisi ya pre season lazima ufungwe", mbona kila preseason huwa mnajifungia Kimbiji na kucheza na Kibada FC, au hilo mmejua leo? Wakati Simba inacheza na CSKA Moscow, nyie mlikuwa mnacheza na nani?
 
Hata ikiwa timu za kati kwenye Ligi kubwa ni kubwa kulinganisha na Ligi yetu! Hauwezi kulinganisha timu ya 10 ya EPL au Bundesliga na mshindi wa pili wa Ligi ya Burundi! Sasa nyie mlikuwa na maana gani kuficha mechi za preseason na timu za bodaboda wa misri? Na bado mkafungwa😄 bila shaka mmejifunza sasa kuwa ulikuwa ujinga na utoto
 
Hii timu imekaa kitapeli sana, wanaokolewa tu na utakatifu wa Max Nzengeli.

Walitutangazia kwa mbwembwe kuwa wamepewa mwaliko maalumu huko Kenya wakasema pia wamealikwa na vilabu vikubwa Ulaya kwa ajili ya preseason, wakaishia kucheza Kombe la Mpumalanga ambalo halina tofauti na lile la Shafii Dauda wanalocheza hadi Bodaboda FC.

Nawakumbusha tu maana baadae msije mkasingizia pre-season yenu haikukamilika kwa jinsi mlivyopanga.
Misri
 
Kumbe wewe ni mmoja wa wale wanaoamini habari za uzushi zisizo na ushahidi wowote?

Juzi niliuliza lini mechi za Yanga kule Kimbiji ziliwahi kuonyeshwa live (na hapo tunaongelea si chini ya preseason na midseason tatu za Yanga), mpaka leo hakuna aliyenijibu.
 
Pre season unaangalia na aina ya kikosi na malengo mliyojiwekea kwa hilo siwezi kuwalaumu maana bado ni timu ndogo na changa inayojitafuta walau nafasi ya pili ligi kuu au makundi shirikisho kama ilivyokuwa Yanga miaka kadhaa hapo nyuma, Hivyo isingewezekana kucheza n timu kubwa za Bundesliga au kupata mialiko ya pre season tournament kama Toyota cup n.k ambayo timu zenye malengo ya nusu fainali club bingwa huipata
 
Sijakuelewa timu ipi unaiita kubwa na ipi inajitafuta. Hivi serious kabisa hiyo Toyota Cup mnajisifu nayo, mimi nilidhani ni utani.
 
Hii timu imekaa kitapeli sana, wanaokolewa tu na utakatifu wa Max Nzengeli.

Walitutangazia kwa mbwembwe kuwa wamepewa mwaliko maalumu huko Kenya wakasema pia wamealikwa na vilabu vikubwa Ulaya kwa ajili ya preseason, wakaishia kucheza Kombe la Mpumalanga ambalo halina tofauti na lile la Shafii Dauda wanalocheza hadi Bodaboda FC.

Nawakumbusha tu maana baadae msije mkasingizia pre-season yenu haikukamilika kwa jinsi mlivyopanga.
Muda ulikuwa hautoshi baada ya kukubali mialiko ya Afrika ya kusini.
 
Sijakuelewa timu ipi unaiita kubwa na ipi inajitafuta. Hivi serious kabisa hiyo Toyota Cup mnajisifu nayo, mimi nilidhani ni utani.
Ina maana jambo dogo kama hili pia unahitaji kudadavuliwa? Timu inayoshiriki konbe la shirikisho unaweza kuilinganisha na timu inayoshiriki club bingwa Afrika? Kama haufahamu thamani ya kombe la Toyota ni zaidi ya ligi kuu.
 
Hii timu imekaa kitapeli sana, wanaokolewa tu na utakatifu wa Max Nzengeli.

Walitutangazia kwa mbwembwe kuwa wamepewa mwaliko maalumu huko Kenya wakasema pia wamealikwa na vilabu vikubwa Ulaya kwa ajili ya preseason, wakaishia kucheza Kombe la Mpumalanga ambalo halina tofauti na lile la Shafii Dauda wanalocheza hadi Bodaboda FC.

Nawakumbusha tu maana baadae msije mkasingizia pre-season yenu haikukamilika kwa jinsi mlivyopanga.
Ogopa matapeli
 
Dah kweli nyakati zimebadilika. Chura anamfundisha Simba kuwa klabu bingwa ina thamani kubwa kuliko shirikisho.
 
Ulitaka waende Kenya wasiende SA kucheza na Kaizer Chiefs daah mtani umechanganyikiwa sana..
 
Hii timu imekaa kitapeli sana, wanaokolewa tu na utakatifu wa Max Nzengeli.

Walitutangazia kwa mbwembwe kuwa wamepewa mwaliko maalumu huko Kenya wakasema pia wamealikwa na vilabu vikubwa Ulaya kwa ajili ya preseason, wakaishia kucheza Kombe la Mpumalanga ambalo halina tofauti na lile la Shafii Dauda wanalocheza hadi Bodaboda FC.

Nawakumbusha tu maana baadae msije mkasingizia pre-season yenu haikukamilika kwa jinsi mlivyopanga.
acha ujinga,yanga ilialikwa kenya ba walijibu hawataweza kutokana na ratiba,pia waliakwa urusi na majibu yalikuwa ni hayohayo,yanga sio wajinga kama wewe
 
Kwahiyo ndani ya ule muda mfupi wa pre season, ulitaka waende Kenya, SA na Ulaya??

Hiyo ni pre season au tour?
 
Hii timu imekaa kitapeli sana, wanaokolewa tu na utakatifu wa Max Nzengeli.

Walitutangazia kwa mbwembwe kuwa wamepewa mwaliko maalumu hu unako Kenya wakasema pia wamealikwa na vilabu vikubwa Ulaya kwa ajili ya preseason, wakaishia kucheza Kombe la Mpumalanga ambalo halina tofauti na lile la Shafii Dauda wanalocheza hadi Bodaboda FC.

Nawakumbusha tu maana baadae msije mkasingizia pre-season yenu haikukamilika kwa jinsi mlivyopanga.
Yaani wewe una za kuvukia barabara tu.
 
Ulitaka waende Kenya wasiende SA kucheza na Kaizer Chiefs daah mtani umechanganyikiwa sana..
Hakuna ninachotaka au nisichotaka

acha ujinga,yanga ilialikwa kenya ba walijibu hawataweza kutokana na ratiba,pia waliakwa urusi na majibu yalikuwa ni hayohayo,yanga sio wajinga kama wewe
Kama mialiko ilikuwa ya siri ilikuwa na haja gani kututangazia sisi kwa mbwembwe halafu iliposhindwa kufanyika waka mute. Tupunguze siasa. Mliambiwa kuna kombe la mialiko?
 
Hakuna ninachotaka au nisichotaka

Kama mialiko ilikuwa ya siri ilikuwa na haja gani kututangazia sisi kwa mbwembwe halafu iliposhindwa kufanyika waka mute. Tupunguze siasa. Mliambiwa kuna kombe la mialiko?
Mkuu hivi vilabu ni Taasisi hata wewe ukiwa na Taasisi Imara unaweza kwenda popote na ukapewa mialiko si unasikia wanakwambia sijui Visa ya Nchi fulani inasumbua ila ukiwa upo na taasisi unapeleka Pass leo wiki hiyo hiyo inatoka tena anatumwa Agent kuleta vitu unavyohoji labda iwe kwa mtu binafsi sio Vilabu vyenye Goodwill nzuri.
 
Back
Top Bottom