SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
- Thread starter
- #21
Hata Bundesliga wana "Ihefu" zao ndiyo mmecheza nayo hiyo. Eti "maana halisi ya pre season lazima ufungwe", mbona kila preseason huwa mnajifungia Kimbiji na kucheza na Kibada FC, au hilo mmejua leo? Wakati Simba inacheza na CSKA Moscow, nyie mlikuwa mnacheza na nani?Maana halisi ya pre season lazima ufungwe na upate challenge hususan kutoka timu kubwa kama za Bundesliga! Sio oreseason mnacheza na timu za bodaboda wa misri alafu mnajisifu mmefanya maandalizi matokeo yake ndiyo kukandwa kila mnapokutana na timu imara😄