Hivi ilikuwaje kwa Prof. Jay na Rashida Wanjara?

Hivi ilikuwaje kwa Prof. Jay na Rashida Wanjara?

[emoji23][emoji23][emoji23] diamond ni zaidi ya mswahili imagine " Asa twende kisamugile, sambamba, Hapo vipi inabamba??
Inogile inatamba, basi chanika musamba"
huo mstari nikiusikiaga nachekaga sana sijui anawazaga nini
nenda instagram sasa kamuone huyo Don Masha A.k.A donjeshi
Ila mond fala sana huyu dogo ni zaidi ya mbunifu na unaweza usimuelewe kama huna connection *****... Ndio leo nimeelewa hicho kipande

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna tape fulani ya Kikosi cha Mizinga ilivuja, ambapo pamoja na mambo mengine, walisikika kina Kala Pina wakimnanga Prof. kwamba "kaungua" kwa sababu ya kujilipua kwa demu supastaa mdangaji. Rashida???

"Naanza na Machoko Chokambaya na mgoroko Dudubaya ,Jay nakuonea huruma najua una miwaya,virusi alivyokupa malaya aliyekufa kule Tanga" - Kalapina Beef 2007


Jay naye kuna mstari aliimba:-

Waliosema nina ngoma wengi tushawazika.
 
Back
Top Bottom