Hivi ilikuwaje kwa Prof. Jay na Rashida Wanjara?

Huyo wanjara mwenyewe sasa

Inaonekana kashakata ringi
 
Mimi huyo shida sikumbuki maana enzi hizo jitegemee jitegemee kweli, ila kajala alikuwa maarufu sana jitegemee maana mi naingia form one yeye yupo form three na kina Daz nundaz na tayari walikuwa maarufu sana shuleni hapo.
Enzi hizo jitegemee Ilikuwa na wanafunzi karibu elfu 4 na walimu zaidi ya 200
 
Ndo maana profesa wanasema kaungua
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…