HIVI INACHUKUA MDA GANI MPAKA UTAKE TENA

Anakula vizuri, sipandi guta nafanya maandalizi zaidi ya dakika 45 mixer uvinza 😛.
 
vichocheo vyako vya mwili vikibalance au kupungua hutakua na hulka kama ulizonazo sasa, yapo mambo utayapa kipaumbele zaid ya hilo
 
Mambo gani tena ndugu ya muhimu kuliko hilo. Wanaume wote tunapambana kwa ajili ya hilo. Vijana wanaosoma leo wanaamini elimu itawapa maisha yatayowapa wanawake wazuri, Kiufupi wanaume wote lengo ni moja tu. Kupata pesa uopoe mke.
 
sawa nyie wanaume wenye lango moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…