Hivi inakuaje Baba miaka 30 unahangaika kwenye nyumba za upangaji?

Hatujiui mkuu, Licha ya kuwa na umaskini mkali lakini bado maisha matam

Na nijizili nijenge makorokoroni ili iweje? Acha niendelee kupanga Town maisha yenyewe mafupi haya
 
Sasa wote tukijenga,nani atapanga!? Nyie jengeni,wengine tupange kwenye mijengo yeni! Na hayo ndiyo maisha ya kutegemeana,kama vile police na kibaka!!
 
Unajengaje ukiwa chini ya 45yrs Mkuu?, ndio maana ni ngumu sana jamiu zetu kukata mizizi ya umasikini.

Ukijenga makazi ina maana umeamua kubaki hapo hapo ulipojenga. Sasa kama unayataka mafanikio ya kudumu inabidi miaka chini ya 45 unatakiwa uwe angalau umeishi kanda zote za hii nchi, na hata nje ya hii nchi pia.

Anyway, kila mtu na lake. Pesa inatakiwa kuzunguka sio kufukiwa.
 
Hahaha.
Myaka 30 umejenga ???

Umejenga Nini ?
Pango au kibanda ?

Million 250 za kujengea nyumba umezikuta wapi myaka 30 ??

Kama pango bas sawa, Kama kibanda Haina mbaya ,
Kama umejenga kaframe hai a mbaya . Hongera.

Ila unajenga a proper house biasara ulijenga lini mkuu ??

Economically you can not build a house on your own. You must build a business which will and shall eventually build your life.

But ikiwa umejenga nyumba . (A proper house) Bas wewe ni Mdogo wa ridhiwani kikwete kwamba huna wajibu wa kujenga economic foundation kwanza as baba ako asgajenga hiyo foundation.

Ahsante. .
 
Unashaa
Mwingine yupo kwa wifi
 
Ndio maana vijijiji mnawahi kuzeeka, kijana mdogo wa miaka 30 unamuita baba, tena unamuasa ajenge, sio kujenga tu awe na familia kabisa.

Si ajabu jamaa una wajukuu kwa huo umri wa miaka 30.

Kula maisha dogo, unajenga vipi njiani??
 
Acha ujinga dogo wew kama kwenu wakishua usifananishe na walalahoi😅
 
Ndio maana vijijiji mnawahi kuzeeka, kijana mdogo wa miaka 30 unamuita baba, tena unamuasa ajenge, sio kujenga tu awe na familia kabisa.

Si ajabu jamaa una wajukuu kwa huo umri wa miaka 30.

Kula maisha dogo, unajenga vipi njiani??
Jenga we mzee
 
Safi nadhan ipo umuhim kujijenga kwanza mtu yaan vyanzo vya fedha na connection plus mitego ya pesa Nyumba inaweza ziba utajiri mbele wengi wameishia hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…