ricostersundi
JF-Expert Member
- Feb 15, 2017
- 358
- 447
Kilo Moja ya dagaa mtakula zaidi ya siku 5.ila nyama huwezi kula zaidi ya siku 1kwa hyo kg 1Habari zenu,
Miaka ya nyuma tulizoea kuwa dagaa ni mboga ya watu wa hali ya chini lakini nimeshangaa sehemu ninayoishi kwa sasa nyama ndio imekuwa mboga watu wa hali ya chini tunaweza kuimudu.
Mfano huku kwetu 1kg ya nyama ya ng'ombe ni tsh 6,500/= wakati kilo ya dagaa ni tsh 10,000/=, samaki 11,000/=.
Imekuaje dagaa wamepanda bei ghafla?
Hata Dar Vingunguti kuna sehemu wanauza 6,000/=.Acha uongo nyama wapi inauzwa 1 kg 6500/-
Na mimi nataka kujua nikahamie karibu na maeneo hayo. Au ni zile nyama za wanyama waliokufa?Acha uongo nyama wapi inauzwa 1 kg 6500/-
Kiafya dagaa liko vizuri zaidi kuliko nyama nyekunduWabongo tulivyo hamnazo inawezekana kuna mtu amesharusha hewani kuwa dagaa wanaongeza nguvu za kiume!
Oh, kumbe!!Kiafya dagaa liko vizuri zaidi kuliko nyama nyekundu
Huyu anauliza kuhusu mabadiliko ya bei ya dagaa.Dagaaa kilo ni wengi sana ukilinganisha na nyama hapo bado tunasema nyama ni bei zaidi
Hili tutaliangalia pia, ondoa shaka.Huyu anauliza kuhusu mabadiliko ya bei ya dagaa.
Dagaa kauzu kg 4000-5000 kwa masoko ya Dar es salaam tulikuwa tukinunua sasa ni 9000-12000.
Dalili za ushindi kwa motivational Speakers siyo bure.Habari zenu,