Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wa Tz sijui kwanini tunapima ubora na uimara wa gari kwa kuangalia namba ya usajili! Njia nzuri mtafute fundi umpeleke akusaidie kulikagua, akikwambia liko poa nunuaWakuu kuna ka gar flan hapa nipo kwenye ku negotiate,.namba C ila sasa mile age ni 70000,body nzuri,.ila sasa mmh,..na bei sio kivile sana,kawaida,na sio yard...msaada puliz
Hiz heruf znaweza kukuambia umri wa gar kwa maana,ina mda gan toka imesajiliwa,mfano A,ni ya mda mref na D is almost current,pia mile age itasema kama hii gar imetumika saaana,..sasa mim hii gar ni ya mda ila haijatumika sana,sasa ndo sjaelewa scenario hii.anyways ngoja nijue nafanya ninKwani hiyo c sinierufitu au inamaanisha kuna A.B.C.D kwenye Magari???
Wakuu kuna ka gar flan hapa nipo kwenye ku negotiate,.namba C ila sasa mile age ni 70000,body nzuri,.ila sasa mmh,..na bei sio kivile sana,kawaida,na sio yard...msaada puliz
Kuna gari nimeitumia ni namba A ya 2007 ilikuja na km 60,000 toka Japan.Leo Ina km 90,000.kuna gari moja nilikuwa naiona sehemu almost imepaki muda wote,mwenyewe anafanya kazi na kuishi jengo hilo hilo,inatembea akienda sokoni ambako hakuna umbali wowote au labda weekend akienda kunywa bia bar!!gari kama ile inaweza kuwa hata namba A ni mileage zikawa chache!hata wahindi wa kisutu magari yao wanapanda wakienda coco beach usiku!!
Kama ilikuwa imepaki tu mileage zitaongezekaje, acha usumbufu na maswali yako. Unanunua gari kwa herufiWakuu kuna ka gar flan hapa nipo kwenye ku negotiate,.namba C ila sasa mile age ni 70000,body nzuri,.ila sasa mmh,..na bei sio kivile sana,kawaida,na sio yard...msaada puliz
Weka picha hapa tukuambie. ni aina gani ya gari na unauziwa hela ngapi? unaweza kupigwa mchana.Wakuu kuna ka gar flan hapa nipo kwenye ku negotiate,.namba C ila sasa mile age ni 70000,body nzuri,.ila sasa mmh,..na bei sio kivile sana,kawaida,na sio yard...msaada puliz
Wakati mwingine mtu ana magari 4, kwa hiyo hawezi kuendesha gari hilo hilo kila siku,Hiz heruf znaweza kukuambia umri wa gar kwa maana,ina mda gan toka imesajiliwa,mfano A,ni ya mda mref na D is almost current,pia mile age itasema kama hii gar imetumika saaana,..sasa mim hii gar ni ya mda ila haijatumika sana,sasa ndo sjaelewa scenario hii.anyways ngoja nijue nafanya nin
Mkuu umeiweka vizuri sana. Kuna mtu gari yake inawashwa J'pili kwa J'pili kuendea kanisani tu. Sasa hiyo hadi ije kusoma mileage 'ifananayo' na plate number yake sio leo. Ubora wa chombo ni zaidi ya mileagekuna gari moja nilikuwa naiona sehemu almost imepaki muda wote,mwenyewe anafanya kazi na kuishi jengo hilo hilo,inatembea akienda sokoni ambako hakuna umbali wowote au labda weekend akienda kunywa bia bar!!gari kama ile inaweza kuwa hata namba A ni mileage zikawa chache!hata wahindi wa kisutu magari yao wanapanda wakienda coco beach usiku!!
Ni spacio model mpya.Weka picha hapa tukuambie. ni aina gani ya gari na unauziwa hela ngapi? unaweza kupigwa mchana.
1. namba ni indicator ya kwanza kuwa hilo gari limesajiliwa mwaka 2013 kwenda mbele. shtuka.
2. mileage ya 70000 kwa gari lilotumika is highly questionable. mie ukiniletea gari la mileage ya 435000 naweza kuirudia mpaka 35011
3. ukizingatia unanunua mkononi ndo kabsaaaa kaa mbali
4. kuhusu kuleta fundi ndo unaweza kupigwa vizuri maana fundi anaweza kuzunguka na muuzaji wakakupiga wote
Aah hapana,siagiz gar na dt dobie siend,nshaagiza gar halaf naona mule mule tuu,haina tofaut na anaekata bima ya comprehensive na yule wa ya chin ambae anaendesha kwa uangalif na hapat ajal..ingawa risk ni kubwa.nagawana umaskin nawenzangu huku huku mtaan,Kama unaogopa kupigwa....piga weweeee...AGIZA GARI JAPANI AU KAMA VIP D.T. DOBIE BADO HAPAJAFUNGWA.