Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kitendee haki KiswahiliAah hapana,siagiz gar na dt dobie siend,nshaagiza gar halaf naona mule mule tuu,haina tofaut na anaekata bima ya comprehensive na yule wa ya chin ambae anaendesha kwa uangalif na hapat ajal..ingawa risk ni kubwa.nagawana umaskin nawenzangu huku huku mtaan,
Tz washamba sana.Wa Tz sijui kwanini tunapima ubora na uimara wa gari kwa kuangalia namba ya usajili! Njia nzuri mtafute fundi umpeleke akusaidie kulikagua, akikwambia liko poa nunua
Muhindi anaeishi kisutu na duka lake hapo hapo gari itatembea wapiWakuu kuna ka gar flan hapa nipo kwenye ku negotiate,.namba C ila sasa mile age ni 70000,body nzuri,.ila sasa mmh,..na bei sio kivile sana,kawaida,na sio yard...msaada puliz
Nilishawahi kununua gari kwa kumtumia Fundi kumbe Fundi wangu alinizunguka na huyo muuzaji wakala dili nikanunua gari bovu Fundi ananidanganya kuwa Nzuri. Baadaye nilipata taarifa alitumiwa mgaoWa Tz sijui kwanini tunapima ubora na uimara wa gari kwa kuangalia namba ya usajili! Njia nzuri mtafute fundi umpeleke akusaidie kulikagua, akikwambia liko poa nunua
Hiyo gari ulikuwa haitumiki !Wakuu kuna ka gar flan hapa nipo kwenye ku negotiate,.namba C ila sasa mile age ni 70000,body nzuri,.ila sasa mmh,..na bei sio kivile sana,kawaida,na sio yard...msaada puliz
Kuna wajanja wanapunguza Mkuu unaweza kuta km iliyokuwa awali kama barabara ipo basi kamefika mbinguniWakuu kuna ka gar flan hapa nipo kwenye ku negotiate,.namba C ila sasa mile age ni 70000,body nzuri,.ila sasa mmh,..na bei sio kivile sana,kawaida,na sio yard...msaada puliz
Umri wa gari aukupi ubovu wa gari !! Kuna gari ni za Juzi lakini azitizamiki. Gari ni matunzo, linaweza kuwa na no D alafu unakuta kumbe ndio zile gari zimeinhia barabarani kwa msamaa wa "motor vehicles "Hiz heruf znaweza kukuambia umri wa gar kwa maana,ina mda gan toka imesajiliwa,mfano A,ni ya mda mref na D is almost current,pia mile age itasema kama hii gar imetumika saaana,..sasa mim hii gar ni ya mda ila haijatumika sana,sasa ndo sjaelewa scenario hii.anyways ngoja nijue nafanya nin
Inawezekana hizo km ni halali yake lakini pia inawezekana imechakachuliwa kwa wanafanyaga gerezaniWakuu kuna ka gar flan hapa nipo kwenye ku negotiate,.namba C ila sasa mile age ni 70000,body nzuri,.ila sasa mmh,..na bei sio kivile sana,kawaida,na sio yard...msaada puliz
Unataka kununua how much?Ni spacio model mpya.
Bonge la point aisee.Usinunue gari kwa herufi. WazanzibarI wanatumia gari kwao wakizichoka wanazileta bara wanasajili namba current (kwa namba za bara) na unauziwa potential skrepa huku unatabasamu
Siku hizi wanarekebisha hizo kilomita mkuu, chakufanya angalia tu kwa macho kama inakufaa kwa matumizi basis.Wakuu kuna ka gar flan hapa nipo kwenye ku negotiate,.namba C ila sasa mile age ni 70000,body nzuri,.ila sasa mmh,..na bei sio kivile sana,kawaida,na sio yard...msaada puliz
Binafsi nadhani mojawapo katika haya yanaweza sababusha gari ikawa na kilometa chacheWakuu kuna ka gar flan hapa nipo kwenye ku negotiate,.namba C ila sasa mile age ni 70000,body nzuri,.ila sasa mmh,..na bei sio kivile sana,kawaida,na sio yard...msaada puliz
Nitafutie huyo mchakachuzi anichakachulie na MimiKuna uchakachuaji wa mileage sikuhizi..