Hivi inakuaje Hapa Tanzania watu Kingereza kinawapa shida pamoja nakusema kuwa mna degree zenu za sociology?

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Elimu ya Bongo Ni maaajabu sana hivi Mtu unashindwaje kuzungumza lugha ya Kingereza kwa Ufasaha na kuandika.

Yule Rais wa Kanda ya ziwa na yeye alikuwa miongoni Mwao anasema tupo na PhD lakini hata kuongea sentensi moja ya Kingereza alikuwa hawezi.

Mtu ukijiita Msomi hakikisha unajua kuongea na kuandika fluently kizungu.

Hatuitaji degrees za chupi.
 
Kwani Kuna uhusiano wowote Kati ya kiingereza na usomi??. Ukienda uingereza kwani ambao hawajasoma hawajui kiingereza??. Je vp wahandisi kutoka China ambao hawajui kuongea kiingereza nao pia sio wasomi??. Kiingereza ni lugha sio taaluma Sawa mdogo wangu?.
 
Mbona alikuwa akiongea kingereza bana, we are dona kantre?
 
  • Kicheko
Reactions: EEX
Elimu ya Bongo Ni maaajabu sana hivi Mtu unashindwaje kuzungumza lugha ya Kingereza kwa Ufasaha na kuandika.

Yule Rais wa Kanda ya ziwa na yeye alikuwa miongoni Mwao anasema tupo na PhD lakini hata kuongea sentensi moja ya Kingereza alikuwa hawezi.

Mtu ukijiita Msomi hakikisha unajua kuongea na kuandika fluently kizungu.

Hatuitaji degrees za chupi.
Kama wa PhD kilimpa shida na waziri wa elimu wazamani kilimshinda tena ni Prof kabise, sembuse sie tuliosomea shule za St kayumba
 
Kwani Kuna uhusiano wowote Kati ya kiingereza na usomi??. Ukienda uingereza kwani ambao hawajasoma hawajui kiingereza??. Je vp wahandisi kutoka China ambao hawajui kuongea kiingereza nao pia sio wasomi??. Kiingereza ni lugha sio taaluma Sawa mdogo wangu?.
Hao Wachina wanasoma higher education kwa lugha ya kiingereza???
 
Hao wachina wao wanasoma kwa kichina tokea mwanzo hadi mwisho,sasa Wewe umesoma kwa kingereza from form 4 to university halafu hukijui hata elimu yako itakuwa na mashaka kwa sababu huo usomi medium of communication ni kingereza halafu hukijui hauoni hapo kuna shida
 
Elimu ya Bongo Ni maaajabu sana hivi Mtu unashindwaje kuzungumza lugha ya Kingereza kwa Ufasaha na kuandika.

Yule Rais wa Kanda ya ziwa na yeye alikuwa miongoni Mwao anasema tupo na PhD lakini hata kuongea sentensi moja ya Kingereza alikuwa hawezi.

Mtu ukijiita Msomi hakikisha unajua kuongea na kuandika fluently kizungu.

Hatuitaji degrees za chupi.
Kwa hiyo hoja yako hasa ni nini
 
Ilitakiwa uandike kwa lugha ya malkia, mkuu
 
Papai lingine ili

Linadhani kuongea English ndo elimu
Stupid
 
Tanzania ndyo nchi pekee ambayo unaitumia lugha fulani kujua maarifa fulani (kupata ngazi fulani ya Elimu) ambayo hayo maarifa yanafundishwa kwa lugha ya Kingereza lakini cha ajabu unajua maarifa lakini haujui lugha iliyotumika kukupatia hayo maarifa.

Ukweli ni kwamba kama hujui lugha iliyotumika kukupatia maarifa fulani basi maarifa yako yatakuwa na changamoto sehemu fulani.

Huu ni muujiza lakini huwa watanzania tunateteana kwenye hili kwasababu levels za ujinga wetu zinafanana kwa wananchi karibia wote.
 
Papai lingine ili

Linadhani kuongea English ndo elimu
Stupid

Bro Kiingereza sio matako yale kila mtu anayo.

Ukimuona mtu anaongea Kiingereza kwa ufasaha hata kama ni kichaa basi muheshimu.

Watu tunasoma masomo kwa Kiingereza kuanzia ,la 1 hadi chuo kikuu lakini yai halitemi.
 
Hao Wachina wanasoma higher education kwa lugha ya kiingereza???
Wachina waliosoma kiingereza wanakijua vizuri sana angalia Chanel zao !!! Sisi tumekisoma na hatukijui huo ndio ukweli achen ubishi wa kijinga
 
Sasa subuti matusi kutika uvccm wanaandaaa futati wengine wameenda kanisani misa za jioni utajuta nakwambia
 
Elimu ya Bongo Ni maaajabu sana hivi Mtu unashindwaje kuzungumza lugha ya Kingereza kwa Ufasaha na kuandika.

Yule Rais wa Kanda ya ziwa na yeye alikuwa miongoni Mwao anasema tupo na PhD lakini hata kuongea sentensi moja ya Kingereza alikuwa hawezi.

Mtu ukijiita Msomi hakikisha unajua kuongea na kuandika fluently kizungu.

Hatuitaji degrees za chupi.

Sasa wewe hata kiswahili kina kupiga chenga, utakiweza kiingereza?

Kingereza ni nini?

Hatuitaji ndiyo ni nini?
Fluently kizungu ndiyo nini?
 
Mtu ukijiita Msomi hakikisha unajua kuongea na kuandika fluently kizungu.

Mentality ya kipuuzi, wapo wasomi wengi kwenye mataifa mengi hawajui kiingereza na maisha yao yako juu mno, sembuse Tanzania
 
Back
Top Bottom