road master
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 2,064
- 3,021
Ukiona mtu anakikataa kiingereza kwa nguvu kubwa jua kinamsumbua!!!Mentality ya kipuuzi, wapo wasomi wengi kwenye mataifa mengi hawajui kiingereza na maisha yao yako juu mno, sembuse Tanzania
Mtoa mada kasema kweli ,wewe unakuja na mifano ya kitoto !!! Sisi tumekisoma.na hatukijui