Hivi inakuaje Hapa Tanzania watu Kingereza kinawapa shida pamoja nakusema kuwa mna degree zenu za sociology?

Hivi inakuaje Hapa Tanzania watu Kingereza kinawapa shida pamoja nakusema kuwa mna degree zenu za sociology?

Mentality ya kipuuzi, wapo wasomi wengi kwenye mataifa mengi hawajui kiingereza na maisha yao yako juu mno, sembuse Tanzania
Ukiona mtu anakikataa kiingereza kwa nguvu kubwa jua kinamsumbua!!!
Mtoa mada kasema kweli ,wewe unakuja na mifano ya kitoto !!! Sisi tumekisoma.na hatukijui
 
Elimu ya Bongo Ni maaajabu sana hivi Mtu unashindwaje kuzungumza lugha ya Kingereza kwa Ufasaha na kuandika.

Yule Rais wa Kanda ya ziwa na yeye alikuwa miongoni Mwao anasema tupo na PhD lakini hata kuongea sentensi moja ya Kingereza alikuwa hawezi.

Mtu ukijiita Msomi hakikisha unajua kuongea na kuandika fluently kizungu.


Hatuitaji degrees za chupi.
Kwa upande wako vp unakitema yai

100%

Ova
 
Sio kasumba hapa inaonesha elimu yetu INA tatizo!!! Haiwezekan MTU akae darasan miaka 16 anatumia lugha kisha hawezi kuiongea !!! Kubalini ukweli
 
Kwani Kuna uhusiano wowote Kati ya kiingereza na usomi??. Ukienda uingereza kwani ambao hawajasoma hawajui kiingereza??. Je vp wahandisi kutoka China ambao hawajui kuongea kiingereza nao pia sio wasomi??. Kiingereza ni lugha sio taaluma Sawa mdogo wangu?.
Uhusiano upo mkubwa sana, hapa tz kiingereza ni lugha ya kusomea na kufundishiwa, swala la kutojua sio msomi kwa hapa kwetu ni sawa na lugha ya kiswahili tu, lakini ukweli inashangaza sana mtu afundishwe kwa lugha ya kiingereza kwa miaka zaidi ya 7 alafu hajui kukiongea wa kukiandika vizuri. [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom